Ni nyie mlioletewa dini ndyo mnamawazo ayo wenzenu walioshushiwa Dini wanaangalia na uchumi pia angalia Quarter angalia Dubai angalia kuwait kote kumependeza sababu wanafocus kwenye uchumi pia sasa wewe mwanakuletewa dini mtu akimsema mtu unalia akifanya kuusu uislamu unaliaToka enzi na enzi kipau mbele cha waislamu ni elimu ahera elimu dunia na maendeleo mengine ni kitu cha badae ndo maana ukifuatilia viongozi wengi wa zamani ambao ni waislamu ukifuatilia elimu zao wamezipata kwenye shule za wakristo.
Daby ujue nashangaa unayoongea hapa kwa status yako hapa Jf!Bado mnaongea hisia...hujui hata kama mimi ni muislamu au la.
Unampangiaje mtu cha kujenga ilihali anatumia pesa yake? Wewe tafuta zako jenga shule au zahanati...tusiende mbali hata kujadili umuhimu wa vilivyojengwa.
Mimi hata ujenge jengo lisikaliwe na mtu ilimradi umetumia jasho lako siwezi nikahoji.
Kwhyo shule, hospital hazitakuwa na umuhimu hata mtu akifa? Hujui hospital ni huduma endelevu? Elimu za madrasa bhanaMsikiti una munafaa zaidi kwa mjengaji hata kama Atakuwa ametangulia mbele za haki tofauti nmna hayo mashule na hospitlii pia kingne ni usimamizi ,Shule na mahospitali yanahtaji usimamizi wa hali ya juu sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamua tu kuwa muwazi kwa hilo au wewe unaona kunashida?Kingjr2,
Nashindwa kuelewa ni nani alikuuliza wewe ni dini gani!!!!! Na unajinasibu kuwa wewe ni Mkristo wakati wewe ni Mfuga Midevu na Majini hivi unaogopa nini kusema ukweli?
KweliToka enzi na enzi kipau mbele cha waislamu ni elimu ahera elimu dunia na maendeleo mengine ni kitu cha badae ndo maana ukifuatilia viongozi wengi wa zamani ambao ni waislamu ukifuatilia elimu zao wamezipata kwenye shule za wakristo.
Kwani ukijenga hospital watu wakitibiwa sio sadaka?Wewe wakijenga misikiti inakuuma nini? Probably their priority sio maisha ya dunia hii, unafikili kila MTU ana fikra kama zako? Wengine priority yao ni mahusiano yao na Mungu wao. Stay back and chill, achana na dini za watu.
Ameongea ukweli.. Waislamu wengi hawaswali lakini misikiti inaongezwa bila kuambatana na juhudi za vichocheo vya kuwavuta watu kwenye kuijuwa dini.Fanya Yanayokuhusu Kwenye Dini Yako
ACHANA NA DINI ZA WATU
Narudia Tena Achana Na Imani Za Watu
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Na usisahau kusema na kile cha kulazimisha hata wasiofikia vigezo vya TCU wanalazimisha wasome tu ilimradi ni wa kwao. Hili ni tatizo piaKwa kweli cha Morogoro ni tishio; Walimu wenye sifa wanakimbia because chuo kinaendeshwa na wazee wa msikitini.
Wanafunzi wanasimamiwa na wazee wa mtaani, ukilala nje ya chuo unachapwa bakora na suspension...............
Chondechonde msijenge vyuo vingine maana mtatuletea kizazi bakora na shururti
Unawahoji kama nani? Acha siasa hao ni viongozi wa dini wanajua shida zao .Misikiti ndio kipau mbele chao.Nilisikia na baadae kuona Mbwana Samatta katoa sadaka ya kujenga msikiti eneo lile lingetosha shule, hospital au kiwanda kidogo, kwa nini msikiti na pale kuna misikiti kibao inamaana zawadi ni msikiti tu hamtaki maendeleo zaidi ya misikiti?
Wakati nikiwa Morogoro nilishuhudia IGP mstafu mzee mahita akikabidhi msikiti licha ya eneo lile kuwa kubwa angeweza kujenga shule, zahanati au kitega uchumi chochote kitoe ajira watu wanufaike ,nikajiuliza zawadi ya maana ni msikiti
Misaada mingi ya mataifa ya kiislamu yaliyopiga hatua kama Qatar, Saudi Arabia,Brunei, Irani, Kuwait ,Oman na n.k wanaleta pesa wajenge misikiti mfano ule msikiti mkubwa pale Dodoma wa ghadafi angeweza kujenga chuo,shule ,zahanati na pale Dodoma misikiti ipo kibao kwa nini msikiti?
Juzi nimemuona msanii mkubwa yule ambaye anhmgeweza kujenga shule pale kigoma,zahati au hata kiwanda amechoma pesa kwa kujenga msikiti na pale kigoma misikiti imejaa kila mtaa hivi hakuna cha maana zaidi ya misikiti.
My take
Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule, zahanati, vyuo na kero chungu mzima, jiongezeni
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣Na usisahau kusema na kile cha kulazimisha hata wasiofikia vigezo vya TCU wanalazimisha wasome tu ilimradi ni wa kwao. Hili ni tatizo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio iani zetu, na ndio maana sisi ni waislam kwani nanyi mnaimani yetu ambayo sisi hatuiamini una jipya?Wenzenu wanafurahi sana wakisikia mnasema hivi! Hili ndo lengo lao.
Kwamba ukitoa msaada kwa kujenga Msikiti unajenga ahera!?!? Hizi Imani tuzipime kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna dhehebu linaloitwa Uislam. Ukatoliki lweli ni dhehebu, nenda karekebishe tena!Nimesharekebisha nenda kasome umalizie
Nilichotaka kusema ni "Tanzania kuna madhehebu mengi sana, lakini makuu yenye waumini wengi ni mawili! Uislam na Ukatoliki"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nchi inayoitwa Quarter. Wala haijawahi kuwepo duniani, rekebisha!!Ni nyie mlioletewa dini ndyo mnamawazo ayo wenzenu walioshushiwa Dini wanaangalia na uchumi pia angalia Quarter angalia Dubai angalia kuwait kote kumependeza sababu wanafocus kwenye uchumi pia sasa wewe mwanakuletewa dini mtu akimsema mtu unalia akifanya kuusu uislamu unalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante! Ngoja nikajifunze kwanza kabisa niyajue vizuri madhehebu ila naamini concept umeipata na lengo la mtoa mada umeshalielewa.Hakuna dhehebu linaloitwa Uislam. Ukatoliki lweli ni dhehebu, nenda karekebishe tena!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hahaa eti akhera zao, hamna cha akhera wala upuuzi gani, kungekuwa na hiyo akhera waarabu wasingewafanya watumwa, wala kunyanyasa dada zenu wanaofanya kazi za ndaniNahisi una uvimbe kichwani. Hayo ya kwao lakini misaada wanayotoa inalenga kujenga akhera zao. Una jipya?!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Kwani hao wafanyakazi wa ndani hapa nchini hawanyanyaswi na watanzania wenzao??Hahaa eti akhera zao, hamna cha akhera wala upuuzi gani, kungekuwa na hiyo akhera waarabu wasingewafanya watumwa, wala kunyanyasa dada zenu wanaofanya kazi za ndani
You are contradicting yourself.umekurupuka kujibu mkuu.
hapana sehemu mleta mada anampangia mtu cha kufanya,ni kama nawewe unaona unaweza kujenga msikiti mwingine pale chang'ombe ni wewe tu na mihela yako.lakini kwa sababu msikiti upo,kama ungejenga shule moja hata ya sekondari uitishe waislamu wasome bure elimu bora,nayo ni sadaka na ingekuwa na mashiko zaidi.
watu wameruhusiwa kusali mpaka majumbani mwao,lakini sina uhakika kama wameruhusiwa kupata elimu ya msingi,sec,au chuo majumbani mwao.tujitahidi kufikiri kwa upana zaidi sio kijinga wakati wote.
Duuh mkuu nimeacha basi. Tufanye yaishe mkuu wangu.Daby ujue nashangaa unayoongea hapa kwa status yako hapa Jf!
Mpaka nahisi labda kuna mwingine anatumia Identify yako.
Hata kama umesema hatujui dini yako ila unatakiwa kufahamu uwepo wako tu hapa duniani unamakusudi ya Mungu bila kujalisha dini yako
Hizi dini kwa ninavyoamini mimi kutokana na uelewa wangu zimeletwa na wanadamu na wengi tu wanazitumia kutimiza matakwa yao binafsi na mashirika yao
Wewe kama mwanajamii mwenye uelewa hauzuiwi wala sio dhambi kumshauri au kutoa maoni yako kwa mtu anayetaka kufanya jambo fulani eti kisa pesa ni zake.
Pesa ni zake ndio, sasa ndio azitumie kwa vitu visivyonufaisha jamii?
Kwamba hata akijenga majengo yasitumike kwako sawa tu ilimradi pesa ni zake! Hiyo si sawa hata kidogo! Wewe kama mwanajamii unayo nafasi ya kutoa mawazo na maoni yako kwa mtu anayetaka kutoa msaada sehemu fulani na baadae anaweza kukushukuru!
Sent using Jamii Forums mobile app