Waislam nijibuni hili

Makanisa yametutosha. Kwa sasa tumebase kusaidia jamii kupata elimu, afya, n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ndio kwanza yanafunguliwa hadi vichochoroni [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
vizuri kiongozi!
 
Tofauti ya Nchi za ulaya na Nchi zenye waisilamu ni media, Hype, kujisifu etc.

Nchi za Kiarabu zinatoa misaada kama vile za Ulaya sema tu haitangazwi tangazwi kama wale jamaa ambao kila tangazo likiisha utasikia imeletwa kwa msaada wa watu wa marekani.

Dini ya kiisilamu inakataza watu kutoa misaada na kujisifia.

Mkuu tuchukulie mfano wa Kuwait kanchi kadogo kama wilaya Ya Tanzania, maneno haya kutoka mdomoni kwa raisi mwenyewe amesema.
1. Wamefadhili zaidi ya bilioni 100 kujenga barabara Tabora 85km
2. Wamefadhili zaidi bilioni 100 hospitali znz
3. Wamejenga visima shule 27 Dar
4. Vifaa clinic ya Jk zaidi ya milioni 500
5. Wamesaidia magari ya Takataka kuiweka dar safi


Sasa fikiria kanchi kadogo tu kanamwaga mamia ya mabilioni kimahisara tu na hakuna publication yoyote.

Kuna project nyingi sana na misaada mingi sana toka nchi za gulf kuja Tanzania. Kama upo interested naweza chukua muda wangu na kuziweka hapa.
 
Kama kujenga visima na misikiti ni Swadaqat Jaariya basi hata kujenga shule & hospital nayo pia ni Swadagat Jaariya, i mean utaendelea kupata swawabu maana jamii itaendelea kupata elimu na matibabu vizazi na vizazi.

Muhimu viongozi wa dini husika wajitahid kuwanywesha waumini maziwa badala ya kuwanywesha sumu.
 
Halafu kujenga msikiti ni boma tu kama kujenga chumba cha darasa moja, kinachonishangaza huwa nivgharama zake.
Utasikia msikiti umegharimu bilioni, huwa sielewi.

Anyway ni misikiti yao.
 
Hayo cyo rasmi na hatuyatambui kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Ujinga huko unakosema ni Mashariki ya kati???Elewa nimesema Mashariki ya kati nakupa tena nafasi taja nchi yoyote ya Mashariki yenye amani kama Tanzania!!!!
Jordan,UAE,Oman zinatosha..umeonyesha ujinga wako kwa kuitolea somalia mfano na yenyewe iko mashariki ya kati?Ila hizo nchi nilizozitaja mwanzo zimekuumiza roho pole sana bwana mdogo!!!
 
kweli kiranga una kichaa.
 
Acha Bas....jaribu hata kuficha ujinga wako
 
kweli kiranga una kichaa.
Katika duara, nyuzi 0 na 360 kwa kuangalia haraka ni kama sehemu ile ile.

Sasa tazama vizuri, usije ukaona nyuzi 0, wakati hesabu ni nyuzi 360.

Sin (0*) = Sin (360*).

Cos (0*) = Cos (360*)

Tan (0*) = Tan (360*)

Don't get it twisted.

Kiranga is a singularity you don't have the math to unravel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhammad alianzisha shule au hospitali???
Uislam haukukua kwa diplomacy ndugu bali fuatilia historia ya vita vya Ridda

Yaelekea unafatilia historia ya uislam, hongera. Ukiisoma historia ya Uislam, wakati wake Muhammad dini haikuwa haya mambo yanayofanywa Leo na waislam, waislam wa Leo wamekopi kutoka kwa ukristo wa kale kuwa dini ni na kufanya mambo ya ukasisi, ukuhani wala utawa pekee sawa na maandiko matakatifu ya biblia. Yaani unapoongelea kuhusu dini kwao ni mambo yanayohusu roho pekee, na kuwa kazi ya makasisi ni ushenga kati ya wanadamu na Mungu. Kwamba kazi ya makasisi ni kukuombea Ili Mungu akufutie dhambi na kukupa pepo. Na mashekhe nao wakaiga na wakajipa hadhi ya kujenga upatanushi kati ya mwanadamu na Mungu. Ni ajabu wenzetu wakristo na hasa wakatoliki Sijui wanafata maandiko gn yanayowahimiza kujenga shule na mahospitali sasa. Kazi hii ilipaswa kufanya na waislam. Na ndio maana tukifatilia historia kuna kipimdi kilichojulikana kama the Golden's age of Islam. Ambapo mambo ya yote ya maelndeleo ulimwenguni waliongzwa na waislam.

Hata hivyo vyeo vya ushekhe havikuwapo wakati wa mtume. Asili ya neno sheikh limeibuka miaka 150 iliyopita linatokana na neno la kigiriki senex likiwa ma maana Mbunge.

Historia inatueleza kuwa wakati wa mtume dini ilifahamika kama ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu. Na kiongozi wa dini hakuwa na kazi ya kuwaombea dua viongozi wengine wa kisiasa au wagonjwa. Bali Kiongozi wa dini alikuwa ndie mtawala. Kwa hivyo dini ilikuwa na maana ya mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu ambapo uligusa kila kipengele cha maisha. Uchumi, utamaduni, utawala na idara zake, zikiwemo mambo ya elimu, afya nk. Haya yalifahamika kama mahitaji ya mwili ili uweze kutimiza mahitaji ya roho. Tofauti na sasa MTU anaweza kufanya ufisadi maofisini na akazichukua pesa zile kwa ajili ya kujenga nyumba ya ibada. Na kiongozi akazibariki pamija na kumpa pepo. Huu ni upuuzi kabisa. Binadamu anapaswa mwilini wake ufanye mambo mazuri yanayompendeza Mungu kwa ajili ya roho take baada ya kufa. Na sio kuchanganya hali na batili pamoja.


Hivyo mitume hawakuacha jambo lolote la kijamii kwa kuona haliwahusu. Na kwa vile alikuwa anatangaza ujumbe yoka kwa mungu Mara kadhaa aliwafanyia miujiza ili wapate kumuamini. Sasa nikirudi kwenye hoja zako. 1. Suala la dini na dipolmasia Muhammad (saw) alikuwa ni mwanadiplomasia aliyetukuka, fatilia mkataba wa kidiplomasia uliojulikana kama Sulhu ya Hudaibiya au Hudaibiya Treaty. Mkataba huu haukuwapendeza walio wengi ktk wafuasi wake wakiona wamedhalilika, kwa kuzuiliwa kuingia makka kwenda kufanya hija. Lkn mtume aliyakubali matakwa ya wasiokuwa waislam wa wakati ule na akaepusha vita. Na hicho kinachoitwa Ridda hakikuwapo wakati wa mtume.

2. Kuhusu kujenga hospitali au Universities. Msingi wa kwanza wa dini hii ni kusoma. Iqra, soma. Hivyo dini imetutaka tusome. Na haikusema kusoma nini, soma chcht kwa ajili ya Mungu.

Na Ipo hadithi mtume akisisitiza hilo kwa kuhimiza waislam wakatafute elimu haya ikiwa uchina, kuhusu hospitali wakati wa mtume hakukuwa na majengo mfano wa hospitali tulizonazo. Kipindi kile madakari ndio waliowafata wagonjwa majumbani kwao. Bali kulikuwa na hopstili mfano wa kambi za muda kwa magonjwa ya milipuko na kuambukiza. Ipo hadithi mtume anasema, Mungu hajaleta ugonjwa wowote isipokuwa una dawa. Hivyo utaona jinsi gani alivyohimiza kufanya tafiti juu ya tiba kutokana na magonjwa mbalimbali.

Hata hivyo mapinduzi makubwa ya tiba za kisasa ziligungulika kipindi kinavhofahamika kama muslim goldern age. Kipindi cha haroun rashid ktk dola ya Abbasid Caliph ambapo duniani kote walitegemea mambo ya kielimu ikiwepo tiba ktk jiji LA Baghdad.

Historia pia inaonyesha chuo kikuu cha kwanza kilipatikana Morocco University of Karueein na baadae Cairo, Azhar University. Wakati huo ulaya na hasa ugiriki kulikuwa na mfano wa hospital wakitibu kwa kutumia maombi.
 
Siku ingine summarize...tuna familia za kuhudumia sio muda ote tunasoma article Jf...
1.Muhammad anabrandiwa kuwa the greatest diplomat lakin ebu fikiria mecca ilavamiwa na waquraysh wakanyanganywa mji wao kwa upanga kwa msemo 'silimu au lipa jizya'...hiyo ni diplomasia???
2.Hapa actually nlikuwa naongelea kipindi cha Muhammad lakini wewe umebase Kwenye "golden age"..... I'm not going to argue about this my friend but keep in mind hakuna dini duniani yenye propaganda nyingi za kujisifu kama uislam
 
I didn't say
I didn't say you can't quote bullshit, you quote bullshit to back up your point, you reinforce you point by bullshit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…