Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
mimi muislam na form six nilipata division one point-3 kwa necta hii hii.sasa kuna watu wanafanya masihara kwenye mitihani halafu wanalalamika necta ndo inawahujumu.tunamlaan muasisi wa udini baba wa taifa,tunawalaan wanaoipendelea dini yao ktk kuwaumiza waislam nchini necta,..