Waislam msiende liliondo- redio kheir

Nafikiri hamjaelewa hapa uislam haukatai tiba bt unapinga tiba ambayo inamshirikisha mungu hivi kama m2 akitibu bila kupromote uwongo nani angekataa sasa huyu babu muongo coz ISSA{A.S} alitibu kwa idhini ya ALLHA 2 huyu kwa mizizi alafu anamsingizia mungu kampa uwezo wakati INJILI inasema kwa uwezo wa mungu utapona basi km ndo kukiri kuwa ukristo ndo umemuwezesha basi wengi we2 tungekuwa HINDU coz kila cku 2naenda kutibiwa india FIGO,MOYO bt hakuna cku ambayo wahindi wamejicfu mungu wao ndo anaponyesha na huyu yahya atabakia kw anapata dhambi kwa kumshirikisha mungu uislam unasema hivyo nakusu uchawi upo kila kona duniani au hujui ilo china upo na c waislam tafuta hoja nyengine NGURUWE WEWE
 
.safi sana wacha wasiende ili folen ipungue sie twende.
 
uamuzi wa busara. waache kwenda ili wapunguze foleni.
 
huyu babu mchungaji hana tofauti na wale maaskofu wanao dai kuponyesha vilema, vipofu na viziwi pale jangwani ilhali kuna waumini wao wengi tu wenye ulemavu.
Na hapa ndipo ninapo tilia shaka juu ya uwezo wenu wa kujudge viongozi wenu kwa kauli zao ktk jina la maono.
Naamini kama siku askofu akiota njozi zake na kudai atakae leta mali yake yote na kujitia kitanzi atauona ufalme wa mungu, bila shaka kesho yake tutazika maiti nyingi zilizo acha ufukara ktk familia zao.
Kwani hili lilithibitika kwa wafuasi wa kibwetere.
 
I wish tungewajua hao watangazaji nadhani wakati umefika wakuanza kuwazomea manake wanaturudisha nyuma kwa udini wao
 
mbona hata siku moja wakristo hawajawahi kutumia vyombo vyao vya habari kuwakataza wakristo wasiende pale Mwembechai kwa sheikh yahya?
Kwa sababu wateja wake wengi ni wakristo.
Ningependa kusikia siku moja
maaskofu wamezuia waumini wao kwenda kwa sh.yahya kwani mtakuwa mmetusaidia kumpiga vita mshirikina huyu
 
Kwenye uislamu hakuna kujiamulia kitu kiovu eti sababu nafsi yako inataka ivyo,mfano kunywa pombe,kuzini etc kiislamu vinakemewa misikitin na ata redio za kiislamu.Haina maana sababu ni personol kutafuta mwanamke na kuzini basi uachwe tu. Narudi kny issue ya babu LOLIONDO sasa,babu amesema Mungu kamuambia kuna dawa mlimani karibu na anapotolea tiba zake,swali je Mungu wa babu ni nani? Jibu ni Yesu. Kiislamu yesu ni Mtume kama alivyo Muhammad(SAW),Musa,ibrahim(A.S) etc. Yesu(Issa) si Mungu so ikitokea Muislamu akaende kny tiba kama hiyo automatically anatenda dhambi kubwa kuliko zote kny dini yake nayo ni USHIRIKINA(amemfanya mtu ambaye yesu kuwa mungu). Ikiwa kama dhambi zingine kubwa kny dini Redio kheri ndo maana inakemea sio issue ya chuki wakuu msiwe watu wa kuattack. Na pia kumuona Mahita au muislamu mwingine anaenda kule hawajitambui kwani uislamu ni zaid ya jina la mtu.
Km utakuwa na swali nakukaribisha tuelimishane abt Islam!
 
km kunamtu alisikiliza clouds fm ijumaa iliyopita usiku MUrry B alifanya mahojiano na dada mmja aliye jitambulisha kwa jina la Kuruthumu Juma alisibitisha kupona kisukari baada ya kunya dawa ya babu, wange mtafuta ili awape somo.
 
SeanJr,kny kuelimishana usiwe mtu wa jazba sana punguza munkari. Wapi yesu anasema mie Bwana(Mungu)?? Zaidi anasema yeye ni Mjumbe tu km Muhammad(S.A.W). Soma vzr Yohana 17:3-4, pia soma Luka18:18 apo ana maana Mungu mmoja ambaye alimtuma km walivyotumwa wengine akina Musa. Soma vzr acha ushabiki wa dini.
 
kwa taarifa yao sufuria ya kuchemshia dawa ndo hiyo hiyo inapikiwa mkuu wa meza
 
Hizi dini tulizorithi au kupokea zinatupeleka pabaya sasa!


Watu wanajitafutia tiba mbadala, wengine wako busy na vipaaza sauti wakiwakataza! tuone itakavyokuwa.

HUU UDINI UNATUFUNDISHA NINI HAPA TANZANIA?
'' tatizo kila kitu tunaingiza siasa na dini bila kuchanganua, suala sio dini ni ushabiki wetu kwenye hizo dini zenyewe, tumeanza sasa kutizamana kidini dini, tuwe makini na kuheshimu dini tusiongee tu kufurahishana wajemeni na kukashifiana kwani tunachokipanda ni sumu itayokuja kutuua wenyewe !!''
 
I am very sceptical, naomba tuwe na subira kidogo... sio mara ya kwanza waganga wa kienyeji wanasema kupata dawa ya ukimwi na magonjwa mengine ila huyu naona ameongeza dimention nyingine: dini. Na ikiwa watu wataenda kule na wasiponi atasema imani yao ilikua ndogo ndio maana hawakupona. Hii ni very comon.
Kwa upande mwengine nadhani Muslim atakae pona itabidi akubali Yesu ananguvu ya kumponyesha. Viongozi wa dini wanawajibu wa kufunza Umma kuhusu vitu kama hivi. Kama ni shirk, ni shirk tu na wanaweza kutumia njia zote kukataza waislam kwenda huko ila mwisho wa siku tunajua kila mtu atajiamulia na kukubali matokeo.
 
Yale maji yamebarikiwa kwa jina la Yesu anayekunywa tayari kaslimishwa bila yeye kujijua na walio wengi kule niwaislamu.
Muislamu anayejitambua hawezi kwenda kule ata kwa sekunde. Na kama ikitokea kaenda hajitambua na hatambui maandiko yanasemaje. We kijana Yesu
Hana ubavu wa kufanya lolote bila ya Mungu wake mmoja ambaye ni mungu wa mitume wengine wote waliomtangulia(Musa,Ibrahim,Daud etc) na aliyemtangulia Muhammad(S.A.W). Binadamu(Yesu) hana uwezo wa kufanya kitu km unavyodai kwa ''Jina la yesu'' bila Kuomba kwa Mungu mmoja! Soma sana Biblia sahihi na usiwe unafatisha mafunzo ya kanisa fuata mafunzo ya Biblia uongoke.








.
 
Anapona kwa jina la yesu eti, si sahihi apo aisee. Tutakuja kupata ukweli mbeleni manake saiv pamejaa ushabiki kny issue ya Loliondo ata ukimteach mtu. Kuhusu redio za kikristo kutokataza watu wasiende kwa Yahaya sio excuse waislamu wasikemee ushirikina wa Loliondo. Imani ya kiislamu hakuna Mtume anayeweza kufanya kitu kwa nguvu zake au akili bila msaada wa mungu 1 ambaye ni mungu wa Musa,Daud,Muhammad,Yesu na mitume mingine etc. Sasa iweje Yesu km mtume aweze kufanya miujiza mwenyewe??? Apo kuna walakini. Go and read careful Bible utapata majibu mazuri.
 
Usiseme kwa sauti siri yako mkuu alikuwa kule akapata kikombe cha maji ya uzima.
 

Ndugu,
ulihitaji uposti mara nne maudhui hayo hayo ??- posts 29,30,31 na hii ya 32!

Delete basi au hujarudi nyuma ukaona umejirudia mara kadhaa?
 
Pole sana ndugu maana dhania yako imepotoka.
Hao walioenda basi ni wanafki kama alivyodai mwingine kwenye thread moja ya kusisimua sana! Jiulizeni kama kweli wengi wenu mnaijua vilivyo imani yenu.Mngeijua basi mngehubiri upendo na amani zaidi kuliko chuki na uongo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…