Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,162
- 138,350
Japo mimi sio muislam,lakini natambua vyema kuwa kwa wenzetu kitimoto ni haramu.Sasa leo nimekutana na Hassan Mansoor anasema dhambi ya kula kitimoto ni kama dhambi zingine ya kuzini,kutukana nk.Kwa hiyo akipata fursa anakamua.Daah nimesikitikana sana

Bora kuzini kuliko kula Noah!
mkuu vyote vitam!
Kwani muislamu akila nguruwe anakufa?
Japo mimi sio muislam,lakini natambua vyema kuwa kwa wenzetu kitimoto ni haramu.Sasa leo nimekutana na Hassan Mansoor anasema dhambi ya kula kitimoto ni kama dhambi zingine ya kuzini,kutukana nk.Kwa hiyo akipata fursa anakamua.Daah nimesikitikana sana
Bora kuzini kuliko kula Noah!
msihalalishe nyama haram
Anasema hayo mwezi wa TOBA????
Jamani! Mimi sisemi uongo...Waislamu wengi wanakula Kitimoto...Kipindi nipo chuo ma-best zangu wa Kiislamu tulikuwa tunapiga nao vizuri tuu..