labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk
Duh!!what a comment!!kumbe nawe ulikuwa shoga!!UK wanatuonea wivu tu na hatui mashoga tena,inatosha sasa
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali
Ndugu yangu Sendeka hali ndio hii lakini wengi hawataki kuitambua hapa tz....labda nikuulize swali...are you the Sendeka MP?i mean Christopher Ole Sendeka??kama ni wewe....big up.....ifike mahali sasa kwa kweli MPs(haswa wa ccm)waamke na kupigia kelele ufisadi kwa matendo yaani.......hivi wanajisikiaje wabunge wanapoenda kwenye majimbo yao na kuona watu wao wanavyoishi hovyo???...ifike mahali watanzania kila mtu kwa nafasi yake apambane na huu ugonjwa wa ufisadi kwa matendo jamani......leo hii tz eti rais anatoa amnesty kwa wezi wa EPA eti walirudisha fedha (wote wanajulikana serekalini)walizokwiba!!alafu wabunge wanaenda bungeni wanakaa vikao wanaona hili sawa???lo hii mtu mwizi anapata ubunge tz na watu wanaona sawa tu...tena wengine wanawapigia hata kampeni za urais!!! ndugu zangu iko siku maskini wa nchi hii wataamka na itakuwa mbaya saaana yaani.....hukumu yao itakuwa kiyama yaani..........Uchambuzi huu, umenitisha sana na haya mambo tumekuwa tukiyapigia kelele kila siku Bungeni na nje ya Bunge! Sisi tunaonekana mafirauni hasa hawa mafisadi!! Hapa hakuna cha Uccm au Ucdm, sote tushikamane kuokoa taifa letu.....Sitaki wala sikubali upuuzi huu!!! Katika suala la uzalendo siangalii chama wala wala sura ya mtu...natetea maslahi ya Taifa langu na rasilimali zake!!
Ndg wana JF tushikamane katika hili!! AIBU SANA....Ndg zangu taifa letu lilikuwa na heshma mbele ya mataifa mbalimbali, tuliongozwa na sifa za kizalendo, umoja, mshikamano na amani. Rushwa enzi hizo ni mwiko na mataifa mbalimbali wanalijua hilo hakika. Hivi sasa tunanuka tena uvundo....HAPA, naomba kuishia hapa tafadhali, tutapelekana pabaya sasa!!!
Uchambuzi huu, umenitisha sana na haya mambo tumekuwa tukiyapigia kelele kila siku Bungeni na nje ya Bunge! Sisi tunaonekana mafirauni hasa hawa mafisadi!! Hapa hakuna cha Uccm au Ucdm, sote tushikamane kuokoa taifa letu.....Sitaki wala sikubali upuuzi huu!!! Katika suala la uzalendo siangalii chama wala wala sura ya mtu...natetea maslahi ya Taifa langu na rasilimali zake!!
Ndg wana JF tushikamane katika hili!! AIBU SANA....Ndg zangu taifa letu lilikuwa na heshma mbele ya mataifa mbalimbali, tuliongozwa na sifa za kizalendo, umoja, mshikamano na amani. Rushwa enzi hizo ni mwiko na mataifa mbalimbali wanalijua hilo hakika. Hivi sasa tunanuka tena uvundo....HAPA, naomba kuishia hapa tafadhali, tutapelekana pabaya sasa!!!
wewe yawezekana una matatizo ya akili, pamoja na ushaidi wote huo unaendelea kutete ujinga, kashifa zote juu ya serikali unaona ndo maisha bora anayopata mtanzania? Au na wewe ni mmoja wa mafisadi. Kaka tafakari!
Mmmh, ukisoma zaidi comments zilizoendelea, wengine wamefikia hata kumwita Kikwete ni "Retards" Nimesikia hadi aibu kuisoma hii comment.Mimi siamini kama ni kweli maoni haya yana uhusiano na kuburuzana au kuna maombi yao yamekataliwa, huyo jamaa ameongea ukweli na ingawa amempiga dongo Mheshimiwa Rais wetu, lakini ukweli upo wazi na kila mtu anayeupenda ukweli hawezi kuhusisha maoni hayo na chochote nje yake, ni maoni yanayojitosheleza kabisa, sisi ni mabwege, namaanisha viongozi wetu mishipa ya aibu imekatika, na sisi wananchi pia inawezekana tuna uoga wa virungu uliopindukia, Mungu tujaalie.
anatafuta posho ya safari!Kwanini kila Mwaka wa huu Mkutano Rais Wetu anajipeleka kwanini asipeleke mtu mwingine wa Tanzania wasikie mawazo Mengine ya Watanzania? angalia Kenya wana Waziri Mkuu wao Raila Odinga Oginga; Nigeria wana Waziri wa Fedha wao Ms Ngozi Iweje... Hawezi kubebe nchi Mwenyewe yeah anaweza kwenda nje kama atakavyo anapenda nje...
Kwani wewe ni Kipofu?kwani hizo Rasilimali kama Dhahabu,Tanzanite,Uranium,Nyumba za watumishi wa Umma zilizouzwa nk nk huoni huvo vyote kama ni Mtaji?Nyerere aliwacha mtaji gani? Mimi sizijui.
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi