Waimba Bongo Fleva sijui vipi!!!

Waimba Bongo Fleva sijui vipi!!!

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,842
Reaction score
23,393
14184359_10210045860453872_5307909774860734478_n.jpg
 
Wanaume wa darrrrrh, na hapa watasema wanasingiziwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Watoto wakiume kujilegeza huku wamelaliana si salama kabisa.
 
Mwanaume akivaa Pete kwenye kidole Gumba cha mkono ndo basi, no Marinda anymore
 
Hao ndo wanaume ukimuon husogei kwanza wanatoa harufu ya beberu ,wanaume wa dar mnatumia spray za wake zenu na kulala kama huyo dogo kwa kifua cha mwanaume mwenzie
utasema wewe hautumii spray,halafu mwanaume kunuka harufu za ajabu sio sifa huo ni uchafu acheni kujazana ujinga
 
Back
Top Bottom