Bora hawa kuliko hao juu.View attachment 389549 vp na hawa wakwenu huko
siyo kwamba ni swaga.?Mwanaume akivaa Pete kwenye kidole Gumba cha mkono ndo basi, no Marinda anymore
huyo mkaka ana lips nzuri........
Hamna swagger Sister huyo ni mchicha mwiba tusiyo kwamba ni swaga.?
Hizo sandozi/ndala mbona rangi tofauti!?View attachment 389549 vp na hawa wakwenu huko
Ndo hvo washalewaHizo sandozi/ndala mbona rangi tofauti!?
Mmmh haya.Hamna swagger Sister huyo ni mchicha mwiba tu
Papa na nguru hiyo yaani tabu kweli kweli.Wote haya kwishney...Angalia Sele kavaa nini miguuni
Au sio eeh,Kuku kala Mchele asubuhi usiku kaliwa yeye kwa wali eeh....Huyo Dully Sykes aliwah kula mke wa MTU nae akaliwa