She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
hahahaaaa!!basi ze job is zea. lols.
I wish Mungu angenipa wivu wa hivyo. hahaha. Ningekondaje?
ndio maana ake coz hyo mi natafsiri
kama dharau,bamiza makonde,kwa siku
hata mara sita atajiju,kila akigeuka analo khaaa!!
mi wangu akigeuka anashtukia bonge la bao
shavuni akome,c aangalie akiwa peke yake
hata kama mm kimbau mbau ndio aangalie mawezere
mbele yangu,nyumbaaaf!!
mhhhhhhh lakini punguza ubabe mamiii utasababisha awe na nidhamu ya woga
hahahahahahahaha.
Aisee nimeshakukariri.
Ngoja nikiamka kushoto.
Usilalamike, umenitafuta mwenyeweeee!!!🙂
She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.
nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
huwa anasema kama niko nae ndo naangalia hivyo je nikiwa pekeyangu inakuwaje?
aiseeeeee mimi siwezi kufanya hivyo ingawa ni utani na inaleta vicheko kati yenu
afu hao wanawake mnawapungia wanajiskiaje mwangine anaweza kudhani dili imetiki kumbeeeeeeee
That's sexual harassment...sidhani kama ni wote wana enjoy hizo honi...
Kumbe na ye kajazia mbona simple tu!,mwambie "Don't rush to judge a book just by looking its cover,NDIO MAANA NILIKUCHAGUA WEWE MKE WANGU KIPENZI,NAFSI YAKO INA ZAIDI YA NINACHOHITAJI".Msifie mara kwa huku ukimwimbia kale kawimbo ka "NO ONE BE LIKE YOU".Usichoke PLEASE!