gateway
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 467
- 123
Wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.
Nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
Nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?