Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #81
Wala sio kwamba mkeo akupendi..hakuna kitu kinaudhi kama kudanganywa tatizo lenu ukimpigia mtu simu anasema unawivu sana.ukiulizwa uko wapi unarudi saa ngapi mnaona kama mnafatiliwa..ndio maana watu tunajinyamazia tu..end of day mnajishtukia kama hivyo maananatufanyaga walinzi wenu..
She is absessed with you au anaboeka!!Mtafutie hobby afanye...Hana marafiki wengine zaidi yako?tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
She is absessed with you au anaboeka!!Mtafutie hobby afanye...Hana marafiki wengine zaidi yako?
Ok..mtafutie tv shows atazame mfano mnunulie season zote za DESPARATE HOUSEWIVES/filamu au other hobbies mazoezi..vitu vya kumkeep busy!!hamna kitu anachopenda kufanya?kipo mnunulie zawadi ili apate activity ya kufanya peke yake bila kukutegemea wewe!marafiki anao ila huwa hapendi kutoka,huwa ni kupiga tu stori kwenye simu na kutumiana sms,sijawahi kabisa kumsikia hata siku moja eti anatoka na marafiki zake.akitoka kazini ni nyumbani,nyumbani kazini.cna uhakika kama huwa anapita hata kwa marafiki zake coz mi huwa simfuatilii kabisa,huwa siulizi uko wapi na unafanya nini
sina mtu wa kukaba labda nikabe upepo!
wanaume mkipendwa sana mna shida. dawa yenu ni nyinyi kuwapenda wadada ambao hawana time na nyinyi ukimpigia simu anakwambia eheee nitafute usiku saa hizi niko busy anakukatia na simu. ukimletea zawadi unaambiwa loh hiki kizawadi gani cha kuniletea mimi chukua zawadi yako.
lakini yule anayekutafuta wewe kwa mapenzi au wivu wake kwako inakuwa kero. mapenzi bwana kazi kwelikweli.
kwani hayo yote hukuyaona kabla ya kufunga ndoa?tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
marafiki anao ila huwa hapendi kutoka,huwa ni kupiga tu stori kwenye simu na kutumiana sms,sijawahi kabisa kumsikia hata siku moja eti anatoka na marafiki zake.akitoka kazini ni nyumbani,nyumbani kazini.cna uhakika kama huwa anapita hata kwa marafiki zake coz mi huwa simfuatilii kabisa,huwa siulizi uko wapi na unafanya nini
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
aliekuwepo alikuwa hakabiki! alikuwa na maisha yake huwezi kumbadilisha kwa lolote akiamua leo ni mpira hata kama unaumwa kufa ataenda kwenye mpira!yaani alikuwa yeye kama yeye! sidhani kama nilikuwaga kichwani kwake kwa lolote! sasa mtu kama huyo utakaba nini.. mwishoni nikaona nitakuja kubabwa mie na pressur na kifo kakangu! si unajua maisha ni haya haya! kama mtu hakupendi utasubiri nini? utasubiria ndege bandarini kweli?Smile!seriously?hujawahi kukaba katika maisha yako yote ya mapenzi?Mmmmh ...........................
ahaaaa bado upo na yule nyumba ndogo?ha ha ha
hata mie nilikua hivyo kama mkeo, nilikua nakaba hivyo hivyo basi alikua anachukiaje, anaona kero
basi si nikaja kuacha kumfuatilia, yani hata sikumbuki mara ya mwisho kumpigia cmu ni lini.
basi siku hizi anatiaje huruma, yani anatafuta attention kwa njia zote, mie wala sina habari nae
yaani hadi namuonea huruma
yani am sure mkeo ni muaminifu kwa asilimia zote, ngoja akipata mtu nje ataacha kukusumbua
aliekuwepo alikuwa hakabiki! alikuwa na maisha yake huwezi kumbadilisha kwa lolote akiamua leo ni mpira hata kama unaumwa kufa ataenda kwenye mpira!yaani alikuwa yeye kama yeye! sidhani kama nilikuwaga kichwani kwake kwa lolote! sasa mtu kama huyo utakaba nini.. mwishoni nikaona nitakuja kubabwa mie na pressur na kifo kakangu! si unajua maisha ni haya haya! kama mtu hakupendi utasubiri nini? utasubiria ndege bandarini kweli?
kweli utamkaba mtu na meno yake 32 utamuwezea wapi ? kila mtu aishi anavotaka bwana!Mbona wako wengi wa dizaini hiyo...huyu kaka mstaharabu tu mtu anaweza akatoka ata bila gari akasema nakuja utaenda kufunga geti?mambo mengine yakujitakia tu..mie ningejikalia natizama movie akija sawa tu asiporudi aibu yake.
kweli utamkaba mtu na meno yake 32 utamuwezea wapi ? kila mtu aishi anavotaka bwana!
Nampongeza kwa kazi yake nzuri....maana sie tukiachiwa ni majanga....
Unataka kwenda mpirani mbebe...unataka kwenda party nenda nae...akigoma baki nae ndani...ndio ndoa hiyo