Wahusika Katika shughuli nzima ya NECTA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahusika Katika shughuli nzima ya NECTA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kiogopeni, Jul 10, 2012.

 1. k

  kiogopeni Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ndio wanaohusika na kutengeneza Mitihani, kuteua watunzi wa mitihani na kuchagua wasahihishaji.


  [TABLE]
  [TR]
  [TD]s/n[/TD]
  [TD]SOMO[/TD]
  [TD]WARATIBU WAKRISTO[/TD]
  [TD]WARATIBU WAISLAMU[/TD]
  [TD]JUMLA[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]1[/TD]
  [TD]UALIMU[/TD]
  [TD]5[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [TD]7[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2[/TD]
  [TD]HISTORY[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]3[/TD]
  [TD]GEOGRAPHY[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]4[/TD]
  [TD]BIOLOGY[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]5[/TD]
  [TD]ENGLISH[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]6[/TD]
  [TD]PHYSICS[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]7[/TD]
  [TD]CHEMISTRY[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]8[/TD]
  [TD]KISWAHILI[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]9[/TD]
  [TD]MATHS[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]10[/TD]
  [TD]BIASHARA[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]11[/TD]
  [TD]UFUNDI[/TD]
  [TD]4[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [TD]7[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]12[/TD]
  [TD]MAPISHI[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]13[/TD]
  [TD]CIVICS[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Lazima tubadilishe hali hii. Edwin Mtei kasema maamuzi ya mtu huathiriwa na Imani yake. Hivi waislamu watapona kweli.
  Wakuu wa Idara Wapo Watano.

  1. Kitali –Mkristo
  2. Mafie- Mkristo
  3. Mbowe- Mkristo
  4. Haule- Mkristo
  5. Salim- Mwislamu

  Mkurugenzi – Ndalichako – Mkristo
  Mkurugenzi Msaidizi- Jina Limenitoka- Mkristo.

  Hata ukisikia wanadai kosa lilikuwa la kibinadamu la kuficha alama za waislamu, kwa mtazamo wangu naona hawa ni waongo.
  Haya wanajf kolezeni ili kuleta utengamano nchini. Changie kwa uangarifu na uerewa sana
   
 2. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  waislam huo ndio mwisho wenu wa kufikiri. Nipo na mwanangu wa miaka mitatu nimemuonyesha uzi huu ameshangaa sana. Amenishukuru kumlea kuwa mkristo la sivyo angekuwa na akili kama za alie post.
   
 3. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nenda na propaganda zako za uislamu,na ingefaa jf wamtoe kabisa huyu jamaa kazidi uchochezi! Think greatly!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kiogopeni, mkuu ukilala ukiamka wewe ni udini tu,shughulisha hata ubongo wako kidogo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  udini utakuua wewe.hapa si mahali pako nenda kwenye ile radio yenu ndo patakufaa.
  Kama ulidhan una hoja ungeanza kwa kuweka data idadi ya wasomi na wataalamu kwa dini zote mbili kisha ndio ungeuliza hili swali.waislamu kwa mtindo huu mtaendelea kulalamika miaka nenda miaka rudi.someni acheni kutengeneza chuki kwenye jamii.
   
 6. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani wana JF nauomba tuchangie mada hii kwa kumtazama mleta Thread kwa mapungufu yake na wala si uislam, mimi ni muislam na ninamshukuru Mungu ninaelimu nzuri tu tena sana na nimeipata katika mfumo huu huu, na hii iliwezekana tu kwa kufuata mafundisho ya Uislam kuwa "Itafuteni elimu hata kama ni Uchina"! So si kweli kuwa waislam wote tunamapungufu haya ni wachache tu ambao hawataki kushughulisha akili zao kufikiri na hao ndio wanaofanya UISLAM na WAISLAM tutukane kila wanapoleta mada zenye hoja za kitoto humu! hivi wameishajiuliza kwanini matokeo ya seminari ya kiislam ya Kilinjiko ni mazuri! au huyo Ndalichako hajui kama Kilinjiko ni seminari ya Kiislam? Tafadhali mleta mada hebu fanya homework yako kwanza kabla ya kuja kututukanisha hapa!
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Wakati nyie mwalalamika bila kufanya kazi, wenzenu wanazidi kufungua vyuo vikuu karibia kila mkoa sasa. Kuna jamaa aliwahi kutunga utenzi huu kuwa
   
 8. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Mkuu nakupa Tano. Asante sana,mie nimesoma na Marafiki zangu 4 India ambao ni waisilamu, Je ndalichako na huu mfumo kristo anaousema hapa hawakujua mpaka wakawapa hizo nafasi za kwenda kusoma nje?remember hii nafasi tulipewa na serikali ya Tanzania through wizara ya elimu...kwa kifupi mkuu kama wasilamu wote wangewaza kama wewe Tanzania yetu ingesonga mbele kwa haraka zaid.asante mkuu kwa uelewa pasi na shaka!jamani tuache kueneza chuki kwa jamii!
   
 9. k

  kiliochangu JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 1,122
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  none sense! wawekee watu na data za CV za hao uliowaweka, ili wajue hata waliopo wamebebwa tu.
  endelea na Upumbavu wako, wenzako wako katika vikao vya kufungua vyuo vikuu zaidi ili kuongeza maarifa.
  Au umesahau ni dunia ya utandawazi huu, kinathaminiwa unachojua na kuweza kutenda na sio dini yako, Shame on you
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ndo matatizo ya kwenda CHUO ukiwa na miaka mitano! endeleeni kulia wenzenu wanatenda!
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yuko wapi? AMEKIMBIA
   
 12. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Unajua mie nimesoma na waislamu hadi chuo kikuu tumekuwa tukishirikiana nao vizuri na hata kazini sioni tofauti...Ninawashangaa hawa wa JF ...Nadhani wapo kuwaharibia waislamu wa ukweli waliosoma wakaelimika na ....Kuweni wakali kuwaambia wazi wasiidhalilishe dini yenu na kuwafanya muonekane kuwa hamna hata uwezo wa kufikiri....Nimependa msimamo wako if at all wewe ni muislamu...
   
 13. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Waisilamu kama wewe mleta mada mko na akili gani?? kuna mmoja wenu Facebook kapost eti waisilamu msishiriki sensa!! kweli hii ni akili kweli???
  Wakristo wanahangaika kubolesha elimu kwa kusomesha na kuleta taasisi za elimu ila nyie mmelalia kupeleka vijana madrasa kusoma kiarabu masaa 8 kati ya 24 mnategemea mfaulishe kweli??? Kama alivyo sema mchangiaji hapo juu weka na CV za hao waislamu tuone kama wanastaili kuwa hapo!! sio unaleta taarifa pungufupungufu!! Ishaaalah natumai ujumbe umefika
   
 14. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  umenena kaka huyo ni mpuuzi mmoja nina marafiki wengi waislamu nasoma nao chuo na natambua uwezo mkubwa
   
 16. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu sina sababu ya kujisingizia Uislam, mimi ni Muislam wa "kuzaliwa" nikiwa na maana kuwa nimezaliwa kwa baba na mama Waislam na hata Madrasa nilisoma pia, so nilichokisema ni kweli kinatoka moyoni!
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwa elimu bora waliyo nayo wakristu watakuwa wanawaongoza mpaka muingie kaburini. Nyie mnabaki kupiga domo wao wanasonga mbele kufungua shule zenye vifaa kuanzia nursery hadi Chuo kikuu nyie mnawaza madrasa ambayo hadi sasa mtoto anatoka kaputi. Nimesoma na waislam na hawajawahi kunipita katika mtihani milele!!! Kwa usomi wa wakristu ni lazima taifa hili liongozwe na wakristu!!! Huoni ndugu yenu alipo loose step kwa kuwapachika kila kona ya taasisi na mambo ni dhaifu na hovyo tu? Ukweli uko wazi, badilisheni mtazamo na mtafanikiwa na si vinginevyo? Nilishawahi kuwaambia siku moja hapa kuwa nilisoma nje na darasa lile (Masters) lilikuwa na wanafunzi toka nchi za kiislam ikwemo Nigeria wanaojidai wajanja. Nakuambia kabla hatujamaliza wanafunzi zaidi wa 12 wote waislam walidisco na wengine waliondoka kabla ya mitihani!!!! Je kule nako kulikiwa na waalim wakristu? Wazungu wale hawana dini na sidhani kama kweli waliamua kuwapa F ili tu waondoke warudi makwao. Hadi mtu unajiuliza huyu kweli alisomaje kwao hadi A level na University (first degree????). Kazi kwenu mnabaki kujadili mambo dhaifu mnaacha kuadili namna ya kusonga mbele kielimu na kuchapa kazi, hata ofisini nyie ni legelege sana, yaani kazi za mitulinga hamuwezi ni laini laini tu kama kustadi!!!
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu umesahau kuwa Kilinjiko iko Kilimanjaro na sifa ya mkoa huo kiakili inajulikana, wamezoa kusoma kwa tabu na kutumia ufahamu kwa mambo ya kujiendeleza. Kule Kilimanjaro hakuna kudekea elimu, wao wanaitafuta kwa kuwa walishajua kupitia maneno ya Mungu kuwa "Ikamateni sana Elimu.....). Nyie Quran inasemaje kuhusu elimu dunia?
   
 19. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,712
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  ndio hata kama mpo wachache we unataka nini....? tena if possible hata hao watolewe..
  shirikisha ubongo hata siku moja moja sio kila siku unapost pumba zako tu
   
 20. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Duh!! Huu ni ukame wa mawazo.
   
Loading...