Wahusika Daraja La Kigamboni Mnasubiri Hili Jiwe/Tofali Liangukie Gari??!!

Kweli kabisa ni uzembe wa hali ya juu kabisa. Na kwanza hata pale kny ubao wa matangazo na ikiwezekana kny kila dirisha tun gekuwa tunabandikiwa taarifa fupi ya punguzo la deni tunalolipa angalau kila siku ili tujue tunalipa kwa speed gani. Tusije daiwa mpaka vitukuu na kiwasababishia wengine kuwa na matumbo makubwa kwa kujaza haki za watu. Nilimsikia siku moja mbunge akisema kiasi ambacho kimelipwa sasa bajiulia anayelipa ni yeye pekeyake? Tuna haki ya kujua ni kiasi gani tunalipa kila siku ikiwezekana na kama hilo ni ngumu basi angalau kwa wiki.
 
Inahitaji nini kuliondoa na kulirudisha hapo lilipochomoka? Au mnasubiri liangukie gari au mtu mwingine agonge hapo ashuke nalo chini?!!

View attachment 625894

Kuna tenda ya kuliondoa hilo jiwe tunatayarisha kuitangaza. Kisha tutakaa kuchagua nani ameshinda tenda, halafu kuomba kibali cha ikulu kutumia fedha kwa ajili ya kumlipa alieyeshinda tenda hiyo.

Huu mchakato utachukua kama miezi sita hivi, tunaomba mtuvumilie na muwe waangalifu mnapopita hiyo sehemu hilo block lisije likawaangukia au mklalitiisa likahama maana itabidi mchakato uanze upya.

Tusipofuata huo utaratibu wa matumizi ya fedha za serikali tunaweza kutumbuliwa, ndio maana inabidi tuwe waangalifu katika kufuata taratibu zinazokubalika.
 
Haya mkuu mmeeleweka.....
 
Wengi wa madereva watanzania ni sawa na mabodaboda akili zao zimeingiliwa na Virus
KWELI KABISA NILIPOAMINI WENGI HASA WA DAR MKIKUTANA SEHEMU MBAYA WENGI KUPIGA REVERSE ILI MPISHANE WANAANZA KUBISHANA --RUDI WEWE ,RUDI WEWE UTAFIKIRI MAGARI HAYANA REVERSE NILIMKATA KIBAO MMOJA NDIO AKARUDI NYUMA
 
KWELI MADEREVA TZ WASHAMBA TAYARI MMESHAGONGA NGUZO ZA DARAJA, IPO SIKU DEREVA ATATUMBUKIA BAHARINI, NA FLYOVER ITAKUWAJE ?
Hapo hapo kuna lori liligonga likaangukia barabara ya chini!
 
Back
Top Bottom