Wahuni wa Ghana walivyoiliza Idara ya Ulinzi ya Marekani kwa zaidi ya miaka 10

Hii story inachanganya...
unasema Yaw ni jina la kufikirika hajulikani sasa historia yake ya kuwa kamaliza chuo sheria aliomba visa aliuza vitu vya nyumbani imetoka wapi kama Yaw hajulikani ni nani ?
 
Shikamoo mkuu Ontario... Mie binafsi nimefurahi sana kwa kazi nzuri ya kina Yaw na timu yake nadhani watakuwa wako ndani ya marekani wakiendelea kunywa mvinyo wao... Maana kiu ya Yaw ilikuwa ni kuikanyaga ardhi ya marekani so itakuwa tayari walishajiandaa na visa zao mkononi sio za kutokea Ghana bali nchi tofauti kabisaa so wakati maofisa wa kimarekani wanajikuna ule muwasho wao walikuwa wanagonga visa zao za kuingia USA
 
Mimi natamani kujua tu material ya noti (dollar) ya marekani na ratios zake. Nikipata hiyo tu! Nawashikisha ukuta daima
 
Hii story inachanganya...
unasema Yaw ni jina la kufikirika hajulikani sasa historia yake ya kuwa kamaliza chuo sheria aliomba visa aliuza vitu vya nyumbani imetoka wapi kama Yaw hajulikani ni nani ?
Mullar Omar amekuwa Rais wa Afghanistan lakini hakuna anayeijuwa hata picha yake tu.

Wewe inaonekana ni mgeni hapa duniani.
 
Mullar Omar amekuwa Rais wa Afghanistan lakini hakuna anayeijuwa hata picha yake tu.

Wewe inaonekana ni mgeni hapa duniani.
Tena akapita katika geti linalolindwa akitoroka na Boda boda

Kwa wale wenye shaka na story hii ya ONTARIO , hiki ni kitu cha kweli kabisa kimetokea
Ni habari iliyofunikwa sana na mambo ya uchaguzi lakini imeripotiwa na baadhi ya vyombo
 
Hii story inachanganya...
unasema Yaw ni jina la kufikirika hajulikani sasa historia yake ya kuwa kamaliza chuo sheria aliomba visa aliuza vitu vya nyumbani imetoka wapi kama Yaw hajulikani ni nani ?

Nilitaka niulize hili swali.

Mullar Omar amekuwa Rais wa Afghanistan lakini hakuna anayeijuwa hata picha yake tu.

Wewe inaonekana ni mgeni hapa duniani.

Mkuu hii kesi ya yaw nafikiri ni tofauti sana na ya huyo rais.

Huyo rais hilo jina ni lake halisi,

Huyo rais hakuna aliyeijua picha yake(am not sure) ila wapo wanaoijua sura yake vizuri.

Sasa kwa huyu Yaw hakuna anayejua hata jina lake halisi ni vipi tu-conclude kwamba alisoma sheria na alijaribu kwenda america several times akashindwa.

Na je ni nan aliyekuja kusimulia yote yaliyotokea kama wahusika wakuu hawajakamatwa mpaka sasa i.e Njia walizotumia kutekeleza huo utapeli wao
 
Hii story inachanganya...
unasema Yaw ni jina la kufikirika hajulikani sasa historia yake ya kuwa kamaliza chuo sheria aliomba visa aliuza vitu vya nyumbani imetoka wapi kama Yaw hajulikani ni nani ?
Mkuu hili si jukwaa la celebrities, kwamba akitajwa Daudi Bashite kila mtu anamfahamu.
 
Mkuu hili si jukwaa la celebrities, kwamba akitajwa Daudi Bashite kila mtu anamfahamu.
Hebu nisome tena labda utaelewa..
Muandishi kasema Yaw siyo jina lake halisi yeye hajulikani ni nani hasa, lakini mwanzo katupa historia ya jamaa hadi chuo alichosoma matatizo aliyopitia n.k
Sasa wewe mtu hamjui ni nani hasa historia yake mnaijuaje?
Ukijia historia ya mtu basi unamjua kama umeweza kujua kuwa aliuza hadi vitu vya nyumbani ili akalipie visa basi utakuwa ushamfahamu...
 
ONTORIO inabidi ujifunze kitu kimoja,

Inabidi uwe unarespond maswali na changamoto ki-busara kama sehemu ya kujifunza na kuongeza weledi katika uandishi wako,

Sio mara moja au mbili nimeona ukiwa una jibu watu hovyo hasa wakienda nje ya kile unachokifikiria wewe.

Hapana inabidi unadilike na uwe deep na unachokiandika ili mtu akitoka nje ya mstari mrudishe kwa facts na afute alichokuwa nacho na hapo ndipo kutakuwa na discussion ya kueleweka.

Nnavyokuona huna tofauti na mwalimu anayeulizwa swali asilolijua na kujifanya mkali.

Nawasilisha usipaniki mkuu
 
ONTORIO inabidi ujifunze kitu kimoja,

Inabidi uwe unarespond maswali na changamoto ki-busara kama sehemu ya kujifunza na kuongeza weledi katika uandishi wako,

Nawasilisha usipaniki mkuu

Nashukuru kwa ushauri mkubwa sana.

But... Unajua watu tunatofautiana sana perspectives, how we think, how we see things, jinsi tunavyowasilisha tunachokijua/kiamini.

It's like a 3D box - wakati wewe unaona upande huu, mimi nauona upande ule mwingine, na mtu mwingine anaona upande wa juu; wakati wewe unaona swali, mimi naweza ona kama I'm insulted na mwingine akaona kama ni utani.

Zaidi ya yote we are here to learn and having fun.

Sijapanic bro
 
Back
Top Bottom