Wahuni wa Ghana walivyoiliza Idara ya Ulinzi ya Marekani kwa zaidi ya miaka 10

Nilipo anza kuisoma soma hii Story nilihuzunika Sana na niliwaonea huluma watu wanavyo hangaika kupata visa za marekani

Lakini nilipofika hapo mwishoni pa wa Ghana nimefalijika Sana na ninawashukuru hao majamaa walivyo wakomesha wamarekani pamoja na ujeuri wao wote na ninapenda watokee majamaa wengine kama hao tena 100.
 
Nimejifunza meng hususan harakat ngumu za kupata VIsa ya Marekan...
Kuna had mambo ya interview!!!!
Shit kwao na kujidai kwao
 
Nimejifunza meng hususan harakat ngumu za kupata VIsa ya Marekan...
Kuna had mambo ya interview!!!!
Shit kwao na kujidai kwao
Interview haikwepeki ndugu, hata ukienda kuchukua passport utahojiwa.
 
Msumbiji ni kanchi kadogo ambacho tukiamua tukaharibie tunakatawanyisha ndani ya masaa machache mno.

Fikiria kipindi ambacho hakukuwa na teknolojia za juu, tuliweza kumpakua Idd Amin ambaye katika utawala wake aliwekeza kaidi katika jeshi lake, alikuwa na backup ya jeshi la Libya chini ya Gadaffi, Palestine Liberation Organisation - PLO kundi la kigaidi lililoundwa na kina Carlos the Jackal na Yasser Arrafat na alikua karibu na Mobutu Sese Seko.

Kumtandika Idd Amin hadi akakimbia uhamishoni halikuwa swala dogo, huyu jamaa alishawahi hata kumdhihaki Malkia, alimpindua raisi aliyeko madarakani kwa kutandika jeshi la nchi yake, lkn bado alinyooshwa na vijana wa JWTZ na Nyerere akampa uraisi wa Uganda Yusuf Lule. Haya yote unamfanyua Nduli.

Sasa Hawa msumbiji ni watu wa kuhurumia tu, naona tuvute meza tuweke glasi za juisi na maua mekundu, tuzungumze diplomasia, wakitaka kuja porini hata maji hawataomba.
Sorry ni Yusuf lule au Milton Obote
 
Obote alipinduliwa na Idi Amin.

Baada ya Nyerere kumnyoosha Idi Aman - akaikimbia nchi. Ndipo Nyerere akampa Yusuf Lule uraisi wa muda.
OK maana nikisoma history ya marais wa afrika mashariki kwa Uganda sikuwahi kumsikia, hii ni life long learning
 
Ukimuona mwanaume mwenzio kanunua BMW afu wewe bado una vits, usimchukie, haitakusaidia. Kua nae karibu ili akupe mbingu nawe uwe na lako. Afu mambo ya kutumia ID 2 tofauti katika uzi mmoja ni ushamba mkubwa.
Ndio Mod wamekufafanulia hivyo...! ukiwa mtu wa kuguess na maisha yako yanakuwa hivyo hivyo. Yaani umepaniki sababu nimekuambia hii news imeshawahi kuletwa humu? Makubwa haya...
 
Back
Top Bottom