Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
274
Reaction score
646
Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026

Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa weledi na kukidhi matarajio ya Shirika.

Akiwakaribisha katika Shirika hilo, Mkurugenzi Mkuu wa TRC Mhandisi Machibya Shiwa, pamoja na mambo mengine, aliwataka kufahamu kuwa wao ni watumishi wa umma na kuwataka kulizingatia hilo.
TRC10347.JPG
 
Attachments

  • TRC10392.JPG
    TRC10392.JPG
    255.2 KB · Views: 9
Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026

Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa weledi na kukidhi matarajio ya Shirika.

Akiwakaribisha katika Shirika hilo, Mkurugenzi Mkuu wa TRC Mhandisi Machibya Shiwa, pamoja na mambo mengine, aliwataka kufahamu kuwa wao ni watumishi wa umma na kuwataka kulizingatia hilo.View attachment 3536699
Sawa sawa...

Naomba kuuliza,hivi mradi wa sgr umefikia wapi sahv

Ova
 
Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026

Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa weledi na kukidhi matarajio ya Shirika.

Akiwakaribisha katika Shirika hilo, Mkurugenzi Mkuu wa TRC Mhandisi Machibya Shiwa, pamoja na mambo mengine, aliwataka kufahamu kuwa wao ni watumishi wa umma na kuwataka kulizingatia hilo.View attachment 3536699
Vyakula vya watu hivyo.
 
1. Wenye undugu na viongozi wako wangapi hapo?
2. Waliopata kazi kwa vimemo wapo wangapi?
3. Na nyie mnatumia VPN ya bure kuingia JF?
4. Kutumia VPN ni kosa kisheria, hamuoni mnavunja sheria za nchi kuingia humu kwa VPN?
 
Back
Top Bottom