Wahudumu wa kike zantel "full mitego"!!!

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
nilikuwa na shida na simu yangu leo hii basi nikaamua nipige zantel customer care basi nimetekenywa sana na sauti ya yule dada niliyezungumza nae maana baada ya kumaliza maaelekezo yangu aliyostahihili kunipa akaniuliza labda una jingine tena!? nikamwambia ndio na kweli nilikumbuka kitu kingine nikamuuliza akanijibu na alipomaliza akaniuliza tena kwa sauti nyororooo kweli kaka huna kingine!?? nikamwambia sina dada!

Sasa nikabaki najiuliza kama ndio mambo ya customer care hayo napenda kuwapa pongezi Zantel ila kama kuna mengine basi kaazi kwelikweli!!!!1!

Ungesema tu na lile jingine. Wewe umeulizwa km una jingine ukaamua kusema hakuna kumbe unalo! Siku nyingine akikuuliza hivyo mtobokee.

Mkuu Customer Care Zantel Bure Kabisa..., Mi nimeshapiga simu pale kama mara mbili na mara zote kwa customer cares tofauti napata jibu tofauti.., yaani hata kama hawajui jibu wanajibu tu mradi basi.., Nikaenda ofisini kwao napo pia nikapata jibu tofauti kuuliza kwanini customer care walijibu vingine nikaambiwa kwamba wale huwa sometimes wanajibu tu ili wakuondoe (and this was from their fellow worker..)

Kwahiyo mkuu labda ningepiga kusikia sauti nzuri ningefurahia customer care yao, lakini sababu nilipiga kupata huduma ya ambacho sikupata kwa kweli sikufurahia kabisa.., (and this was when I was still with Zantel kabla sijawatupa kapuni...) lakini services za hao wengine nazo sio nzuri. wote hawawezi kusema sijui hata kwa kile ambacho hawajui

.Nilipiga nikakutana na mkaka kuna neno alikosea kulitamka nikashangaa ameanza upya kujitambulisha jina na wakati alishajitambulisha.
Uzuri wao ukipiga hausubiri sana kama tigo.

Jamani wadada wako kazinii zaidi acheni kufikiria wanatafuta wanaume!!na zile simu zina rekodiwa hawawezi ongea nje ya maadili ya kazi hata siku moja!!!ile kazi proffessional kabisa hawezi kujiuza pale ukiulizwa vile wanataka kuhakikisha hupigi tena kwa muda kidogoo ndio maana anakuuliza mara kibao kama una lingine!!

Ungemuuliza kuwa unataka kumpa ofa jioni then angekubali tu maana ni customer care!!!

Biashara ni matangazo na matangazo ni biashara kubwa zaidi.

anaongea na wewe unamuona km anakunyenyekea ile ni kazi inahitaji vile lkn mwenzio pale alipo ana mute anakutukana matusi yote halafu ana unmute anakurudia hasira zimempungua usidanganyike na tabasamu hata wale wa kwenye ndege wakiingia kwenye cabin yao wanatukana matusi yote huko wskirudi ni smile tuuu

Ungemuuliza kuwa unataka kumpa ofa jioni then angekubali tu maana ni customer care!!!

Hahahahaa...mkuu kesho ntapiga tena alafu ndo mpango mzima maana sauti ya leo imenitekenya mpaka kitu kikaenda mnara! Najua wengi wanadhani ni kawaida lakini kesho nitajitahidi kurecord alafu nitupie jamvini humu chat yote ilivyokwenda!

Tahadhari Mkuu, suijetenda makosa bila ya kukusudia, kwani maongezi, huduma, na data baina yako na Zantel ni siri baina yenu, kuzitumia vyengine ni makosa. Wewe ungefurahi nambari yako ya simu waitoe kwa yeyote?

nilikuwa na shida na simu yangu leo hii basi nikaamua nipige zantel customer care basi nimetekenywa sana na sauti ya yule dada niliyezungumza nae maana baada ya kumaliza maaelekezo yangu aliyostahihili kunipa akaniuliza labda una jingine tena!? nikamwambia ndio na kweli nilikumbuka kitu kingine nikamuuliza akanijibu na alipomaliza akaniuliza tena kwa sauti nyororooo kweli kaka huna kingine!?? nikamwambia sina dada!

Sasa nikabaki najiuliza kama ndio mambo ya customer care hayo napenda kuwapa pongezi Zantel ila kama kuna mengine basi kaazi kwelikweli!!!!1!

wabongo nao... kwani wewe ukiulizwa una jingine ulipeleka wapi mawazo? mi nilitegemea useme lingine linalohusiana na huduma husika ya simu lakini kumbe ewe uliwaza mengine... alafu its like ume-mind sana maana umelileta hadi huku! yaelekea ulikuwa na mengi ya kumwambia ila domo likawa zito.. mtext bc kama huwezi kujieleza

Similar Discussions

Back
Top Bottom