Wahudumu wa bar wanahitajika Kilimanjaro

Ipo mkuu
Dar street umenikumbusha Mbali sana Mkuu, kipindi nakaa mOshi hilo ni eneo lenye gest nyingi sana!
Kuna lodge moja inaitwa 'ISIOLO MOTEL ' Sijui ipo Siku hizi
 
Hakuna watu wasumbufu kama hawa viumbe!! Wao hawaangalii unachowalipa hata mlipe laki mbili, utasikia ameacha kazi amekwenda sehemu ambako halipwi hata senti!! Na akiambiwa kazi basi atalia kweli!!wao wana angalia mapato ya pembeni hasa wale wazuri wazuri ni ngumu sana kukaa nayee muda mrefu!! Inatakiwa utafute wale ambao ndio kwanza wanaanza hiyo kazi hadi wawe MA KONKI, umeshawatumia sana!! Lakini hiyo MI KURUMBEMBE, kazi sana!! Hata mimi kuna kipindi walinisumbua sana.
dah wanakera kinoma
 
Tatizo kubwa la wenye hayo mabaa; Kuonja vibinti. Interview ya kwanza ni kitandani. Sasa ukiisha kuonjeshwa, huna nguvu ya kumkemea tena. Akija mwambie kuwa una shida ya mfanyakazi sio kilambio.
Akiingia kazini mwambie awahudumie wateja kwa bidii na ahadi ya kutoka na yule mteja wa mwisho aliyekwisha lewa nzwiii. Pochi ya mteja aiache kaunta ukiilinda. Akiamka asubuhi, mteja akiikuta pochi yake kwako nadhani hatakaa ahame hiyo meza yako na mdada hatakaa aondoke kwako kwa kuwa, hujamzuia kujipatia makandokando yake
 
Kuna MMOJA huku Tegeta anataka tuwe wapenzi, kaniganda!
 
Tatizo kubwa la wenye hayo mabaa; Kuonja vibinti. Interview ya kwanza ni kitandani. Sasa ukiisha kuonjeshwa, huna nguvu ya kumkemea tena. Akija mwambie kuwa una shida ya mfanyakazi sio kilambio.
Akiingia kazini mwambie awahudumie wateja kwa bidii na ahadi ya kutoka na yule mteja wa mwisho aliyekwisha lewa nzwiii. Pochi ya mteja aiache kaunta ukiilinda. Akiamka asubuhi, mteja akiikuta pochi yake kwako nadhani hatakaa ahame hiyo meza yako na mdada hatakaa aondoke kwako kwa kuwa, hujamzuia kujipatia makandokando yake
Hivi hii biashara ya bar umeshawahi kuifanya? Au umeandika tu kutokana na story za mtaani?! Hao viumbe ni pasua kichwa, asilimia 95,yao kukaa sehemu akatulia lazima awe anaingiza pesa zake kutokana na kujiuza kwake kwa wateja. Ndio maana kuna sehemu hawalipwi hata senti lakini anafanya kazi kwa moyo, mmoja anajua muda wowote atapata vichwa(wanaume)
 
Sasa weye kama hajakuibia wala kukudhulumu wateja wako au hajawahi kuchelewa kufika kazini una shida gani nayeye?? Mwache ale vichwa weye kula pesa ya vinywaji vyako. Ubaya ni kama ataenda kununua bia baa nyingine aje kuinywea hapo kwako. Tufike mahali pa kuweza kuangalia tunacho faidi kwa uwepo wao na kutokuwepo kwao. Fanya ubunifu wa selfservice uone
 
Uko tayari kuingia ushindani na mbosho?
Tatizo Mbosho wana maringo sana siku hizi sijui kwa sababu wameshakuwa na jina kubwa alafu hata nyama wanapima kidogo sana, usipoenda kuchagua mwenyewe jikoni na kusimamia basi nyama kilo moja utafikiri ni nusu kilo ukiletewa

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
ni kweli kabisa, mana ukishakuwa na jina na kuwa na wateja wengi ni rahisi sana kujisahau
 
Wamelewa sifa.
 
ni kweli kabisa, mana ukishakuwa na jina na kuwa na wateja wengi ni rahisi sana kujisahau
Alafu hawazingatii usafi, haiwezekani mtu anaenda chooni kwa kupitia jikoni...

Uzuri wao upo kwenye kuivisha nyama vizuri tu basi

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Back
Top Bottom