laurentie
Senior Member
- Feb 24, 2012
- 101
- 79
Refresh pub ya arusha inahitaji wafanyakazi was nafasi zifuatazo
MENEJA NAFASI 1
WAHUDUMU NAFASI 10
COUNTER NAFASI 2
SIFA ZA WAOMBAJI
MENEJA
1.anatakiwa awe amemaliza kidato Cha sita nakuendelea
2.awe anauzoefu kwa kusimamia bar au pub
3.awe na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu na hesabu
4.awe mtanashati nadhifu msafi
5 awe na uwezo wakusimamia wafanyakazi
SIFA ZA COUNTER
1.awe amemaliza kidato Cha 4 nakuendelea
2.awe na uzoefu wa kuwa counter
3 awe anajua hesabu vizuri na awe na kumbukumbu
4.awe nadhufu msafi ,lazima awe mwanamke
5.awe mzuri mwenye kuvutia umbo na sura
SIFA ZA WAHUDUMU
1. Awe anajua kusoma na kuandika
2.awe msafi mtanashati
3 awe anauzoefu na kazi za baa
4.awe mrembo mzuri wa umbo na sura mwenye kuvutia
N:b maombi yote yafanyike kwa njia ya simu namba 0762703396,0782719980
Baa inafunguliwa tarehe sita mwisho was maombi ni j3 asbh ,wanahitajika haraka