Wahudumu wa bar wanahitajika Kilimanjaro

Wahudumu wa bar wanahitajika Kilimanjaro

Hakuna watu wasumbufu kama hawa viumbe!! Wao hawaangalii unachowalipa hata mlipe laki mbili, utasikia ameacha kazi amekwenda sehemu ambako halipwi hata senti!! Na akiambiwa kazi basi atalia kweli!!wao wana angalia mapato ya pembeni hasa wale wazuri wazuri ni ngumu sana kukaa nayee muda mrefu!! Inatakiwa utafute wale ambao ndio kwanza wanaanza hiyo kazi hadi wawe MA KONKI, umeshawatumia sana!! Lakini hiyo MI KURUMBEMBE, kazi sana!! Hata mimi kuna kipindi walinisumbua sana.
Bado unaendelea na hii biashara chief?
 
Hivi hii biashara ya bar umeshawahi kuifanya? Au umeandika tu kutokana na story za mtaani?! Hao viumbe ni pasua kichwa, asilimia 95,yao kukaa sehemu akatulia lazima awe anaingiza pesa zake kutokana na kujiuza kwake kwa wateja. Ndio maana kuna sehemu hawalipwi hata senti lakini anafanya kazi kwa moyo, mmoja anajua muda wowote atapata vichwa(wanaume)
Ni changamoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom