Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,808
- 110,047
chanzo gani tena wakati ye ndo kamuona huyo mchungaji
Mchungaji hana jina wala huduma aihudumiayo?
chanzo gani tena wakati ye ndo kamuona huyo mchungaji
Hapa kuna waketeketwa wa dini mtu kasema mhubiri tayari watu wamesharukia dini.Kwani huwezi kuwa mhubiri bila kuwa na dini au dhehebu?Nani kasema haya madhehebu uliyotaja yako salama?cha msingi ni kuvumiliana na kushauriana lakini hakuna aliye safi.Tatizo wewe ukiona mtu ameshika BIBLIA pale posta au kituo cha daladala Temeke mwisho na amevaa tai na shati chafu huku ananukuu vitabu vya MUNGU wewe unamuita muhubiri. Wahubiri utawakuta. ndani ya makanisa ya Anglikan. katoliki na Lutheran huko kwingine ni kwako
Mtakataa kila andiko kwan si ndio zenu bibilia yenu wenyewe halafu mnaikana vile vileukiangalia kwenye biblia ya kiingereza hilo neno uliloita peponi wao wameita ni PARADISE.sasa hebu tuambiane hapa hapa nini tafsiri halisi ya paradise kwa kiswahili?