mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,474
- 14,521
Lakini mkuu kuna kitu kimoja hujakielewa huwa ubingwa mara nyingi mtu anaupata akiwa kazini tayari.Si kweli mkuu, fungua uzi ili upate ukweli...'wale wote mabingwa katika idara ya afya na hawana ajira wanyooshe mikono juu',wale wenye ujuzi uliotukuka wako mzigoni iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri. wale waliofuata vyeti ndio wako nje ya ulingo
Huwezi fika huko kabla hujawa medical..unaanza MD then ukitaka unajiendeleza huko..au mwenzangu unaelewa nn by medical doctor..uskute huelewNaongelea surgical doctor na si medical doctor
Ndio hicho kitu nilikuwa namuelekeza yeye anafikiri labda kwenye chuo cha udaktari kuna kozi inaitwa udaktari bingwa.Huwez fika huko kabla hujawa medical..unaanza MD then ukitaka unajiendeleza huko..au mwenzangu unaelewa nn by medical doctor..uskute huelew
Heheh wewe hujui kitu kuna kozi watu wamesoma Udsm wako 14 tu Tanzania nzima lakini wapo kitaaa,nimeshangaa kuona dogo wa Civil Eng. anauza mashuka WTFSijawahi kusikia daktari bingwa wa upasuaji anakosa kazi; namaanisha tusome vitu au fani ambayo si kila mtu anaweza kufanya
Kwa ujuzi wa taaluma yake,nje na vyeti anaweza kufanya nini?Heheh wewe hujui kitu kuna kozi watu wamesoma Udsm wako 14 tu Tanzania nzima lakini wapo kitaaa,nimeshangaa kuona dogo wa Civil Eng. anauza mashuka WTF
Jitahidi ufike huko sasa,kulalamika hakusaidiiHuwez fika huko kabla hujawa medical..unaanza MD then ukitaka unajiendeleza huko..au mwenzangu unaelewa nn by medical doctor..uskute huelew
Tatizo tunang'ang'ania mijini, ukinunua kile kifaa cha kupimia na ukaweka kiti hapo nje....wagonjwa watajileta wenyewe; fani za afya kwa asilimia kubwa kwa mtu makini ni rahisi kujiajiri,na wanahitajika sana.Ni directly Basi mkuu iwe simple Basi tukajitoleeee (surgical doctor )
Wengi wanavyeti vikubwa utendaji kazi ni sifuri, we jaribu kujitolea tu katika hospitali yoyote....ukiona kila mgonjwa anakuulizia wewe tu umpatie huduma kuliko wengine jua uko fit,darasani hukwenda kufuata karatasi.Lakini mkuu kuna kitu kimoja hujakielewa huwa ubingwa mara nyingi mtu anaupata akiwa kazini tayari.
Sasa sijajua ukisema udaktari bingwa unamaanisha nini hasa labda unge specify unalenga madaktari wenye elimu ya masters,phd?
Au mwenye bachelor degree plus experience?
Wengi wanavyeti vikubwa utendaji kazi ni sifuri, we jaribu kujitolea tu katika hospitali yoyote....ukiona kila mgonjwa anakuulizia wewe tu umpatie huduma kuliko wengine jua uko fit,darasani hukwenda kufuata karatasi.
Nakubaliana na wewe mkuu, maeneo ya kujitolea yako mengi sana na yanazidi idadi ya watu au wahitimu hasa kwenye hii kada ya afya; tengeneza jina kwanza baadaye ndio fedha ifuate.Kwa elimu ya bongo kazi huwa tunajifunzia kazini mkuu,huwezi kuwa fit kutoka chuo lazima ukiingia kazini usote miaka kadhaa kupata experience
Siku hizi wahitimu wanakosa hata sehemu za kujitolea bure hauna habari mkuu?Nakubaliana na wewe mkuu, maeneo ya kujitolea yako mengi sana na yanazidi idadi ya watu au wahitimu hasa kwenye hii kada ya afya; tengeneza jina kwanza baadaye ndio fedha ifuate.
Kwa fani hizi zingine sawa,ila kwa afya bado sana...labda awe amehitimu huku akiwa hajui malaria inasababishwa na niniSiku hizi wahitimu wanakosa hata sehemu za kujitolea bure hauna habari mkuu?
Kwa fani hizi zingine sawa,ila kwa afya bado sana...labda awe amehitimu huku akiwa hajui malaria inasababishwa na nini
Walishajaribu kwenda gereji wakakosa?Naona wengine lawama zmekua nyingi ila hamjui tu! Mm na washikaji zangu wengi ni graduates wamenitangulia tena kozi nzuri tu mechanical &electrical engineering!
Mtu anaona kukaa idle sio mishe anaamua kutafuta hata nafasi za kujitolea (internship) ili kuzidi kujijenga na kupata uzoefu lakini kuzipata hizo nafasi bado ni mziki sana!
Mtu yuko willing usimpatie hata shillingi ila ndio hivyo bado hali inakua tough tu kupata chance!
Inshort maono ya serikali yetu bado sana kwenye ku support wahitimu!
Ngoja tukapambane tu mtaa haina namna!
Tembelea hospitali yoyote unayoifahamu,angalia idadi ya wagonjwa na wahuguzi; kuna sehemu mgonjwa anachukua zaidi hata ya masaa sita hajamuona daktari.....hapo utaniambia kwamba mtu akiomba kujitolea atakosa nafasi?dah mkuu umekariri miaka ya zamani hebu fanya sensa kidogo mitaani upate majibu sahihi
Unahis kufika huko bila ajira ni rahis..nan anakulipia masomo hayo kuwa specialist...hiv unaweza kusoma na njaa..mkuu naomba uingie chimbo kidogo ujue taratib had unakua bingwa inakuaje...Jitahidi ufike huko sasa,kulalamika hakusaidii