ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,002
Unawatambua kwanza halafu, unaenda kuangalia kama wanadaiwa ndo unaandaa mfumo wa kuanza kuzikataKigezo sio wenye degree maana kuna watu wenye degree wamesomeshwa na wazazi/walezi wao kwa 100% hawakupata mkopo wowote kutoka HESLB.