Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

MKUU TUSIJIFANYE HATUJUI SIKU MOJA JIFANYE KUTEMBELEA IMMIGRATION NDIO UTAKUBALIANA NA SEHEMU YA MANENO YA MLETA MADA. PILI SIO WOTE WAMEZALIWA HAPA, WENGINE NI WAGENI (walioingia kihalali) NA WENGINE WAPO WAMEINGIA NA WANAISHI BILA UHALALI WA WAO KUISHI HAPA.
UKITAKA KUJUA WAPO NA WANAJULIKANA GOMBANA NA WATAWALA NDIO UTAWAONA NA WALIKUWA WAKIJUA KUWA WAPO
REF TO MANJI ALICHOFANYIWA
WAHINDI WAPO KIBAO KAMA ILIVYO KWA WASOMALI.
Sema tu nchi yetu haijali na hailindi ajira za wazawa. Na sijui kama kuna sera madhubuti ya kulinda ajira zetu.
Ndio maana sasa wapo wengi tu na wanazijua thaman za kila mmoja wa maafisa wa uhamiaji na ndio maaana pia wana uwezo wa kumyanyasa Mtz na usimfanye chochote , wana nguvu
Mimi nakubali haya uyasemayo.

Ninachokataa ni namna ambavyo mtoa mada anataka kutuaminisha
 
Na bado! Watakuja wengi sana na kwa spidi hii ya vijana wengi wa kibongo wanataka kuwa wanamuziki na ha waigizaji au kujikita kwenye siasa na kusoma hamtaki.Mnategemea wataalamu kwenye hivi viwanda tunavyoanzisha watatoka wapi? Acha umbea nenda kasome
Wahindi are so disciplined. Socially, academically, financially they are so disciplined.

Kumbuka mara ya mwisho kumuona kijana wa kihindi casino au night club kwa hapa nchini. Kumbuka mara ya mwisho kumuona kijana wa kihindi anavuta mibange
 
Nenda india kama utapata kazi zao hata kama una sifa kuwazidi, nenda mahoteli ya kitalii kaangalie wapishi walioajiliwa toka nje nafikiri ni Tanzania pekee ndio unakuta mwenyeji anatetea mgeni ndio maana hata mtanzania akiwa na issue polisi na mgeni polisi wataanza kumkandamiza mwenyeji tembea nje ya Tanzania uone tofauti ya mwenyeji na mgeni
Sasa haya ni matatizo yetu ya kimfumo. Tusitoke nje ya mada maana hiyo ni mada nyengine nilete tuijadili.

Tanzania sifa yetu ni ukarimu na kanuni za ukarimu ni kumshughulikia mgeni haja yake kabla ya kwako binafsi.

Hushangai hata kwenye makabila yetu mgeni akija ndio kuku anachinjwa na watoto hufukuzwa wakalie jikoni huko?? Au hushangai kwamba chakula anaanza kupakua mgeni kwanza??
 
Jiulize kwanza mkuu,kwanini kuna maeneo kwenye mikoa mingi kama sio yote ile mikongwe kuna maeneo yanaitwa uhindini?,hata kama ukiwazuia kuingia nchini,hawa waliopo humu kabla ya hata wewe hujazaliwa wakiamua kuzaana kwa nia ya kuongeza idadi lazima wawe wengi tu...
Hana ajualo huyo. Ni mbaguzi tu, ni kijana mmoja ambae hafkirii sawasawa.

Jana alikuja na mada ya ubaguzi juu ya waarabu. Leo wahindi. Kesho wasambaa na keshokutwa wasukuma
 
Hivi hii mada inahusu Wahindi kama Mo na Manji au wale Wahindi wanaoletwa kutoka India na kuhifadhiwa kwenye godowns? Nimeona sehemu mleta mada kazungumzia immigration hii naona inahusu zaidi Wahindi wanaoletwa kiaina.
Mkuu,

Habari za siku?? Huyu mleta mada ame-generalise tu na kusema wahindi. Hili tatizo kweli lipo lakini sio anavyotaka kuliaminisha huyu dogo
 
Hao jamaa ukipita mitaa yao kule india mida ya usiku mbona utaomba upae urudi nyumbani!
 
MKUU TUSIJIFANYE HATUJUI SIKU MOJA JIFANYE KUTEMBELEA IMMIGRATION NDIO UTAKUBALIANA NA SEHEMU YA MANENO YA MLETA MADA. PILI SIO WOTE WAMEZALIWA HAPA, WENGINE NI WAGENI (walioingia kihalali) NA WENGINE WAPO WAMEINGIA NA WANAISHI BILA UHALALI WA WAO KUISHI HAPA.
UKITAKA KUJUA WAPO NA WANAJULIKANA GOMBANA NA WATAWALA NDIO UTAWAONA NA WALIKUWA WAKIJUA KUWA WAPO
REF TO MANJI ALICHOFANYIWA
WAHINDI WAPO KIBAO KAMA ILIVYO KWA WASOMALI.
Sema tu nchi yetu haijali na hailindi ajira za wazawa. Na sijui kama kuna sera madhubuti ya kulinda ajira zetu.
Ndio maana sasa wapo wengi tu na wanazijua thaman za kila mmoja wa maafisa wa uhamiaji na ndio maaana pia wana uwezo wa kumyanyasa Mtz na usimfanye chochote , wana nguvu
Wahindi wangapi wanafanya kazi serikalini ?
 
Hao jamaa ukipita mitaa yao kule india mida ya usiku mbona utaomba upae urudi nyumbani!
Pia unatakiwa kufahamu Uhindini na Asia, watanzania wengi ni asili ya Asia (Pakistan, Uhindini, Uturuki, Uajemi, Yemen, Oman, Jordan). Sio kila unayemuona ni kutoka India.
 
Uwepo wao unakuzuia nini katika kujipatia mkate wako wa kila siku? Generation ya kina Prof Issa Shivji si ipo vizazi na vizazi na bado wanazaliana? Kwa taarifa tu wahindi wengi unaowaona wametapakaa maeneo mengi nchini kama si babu zao basi baba zao walizaliwa nchini kabla ya uhuru na katika kusaidia maendeleo ya nchi hususani kwenye Tehama na uuguzi/vifaa tiba basi Watanzania wenye asili ya Asia wameplay part kubwa sana.
Umeshawahi kuishi nao ukwajua vizuri tabia zao,ni wabaguzi sana na corrupt peoples in the world na wanapenda kwenda nchi ambazo systems iko week,Australia waliwakaribisha sasa hivi wanajuta
 
Wabaguzi??

You want to talk about ubaguzi??? Tribalism iliyopo Tanzania na Afrika kwa ujumla??? mliwaongelea wahaya sio?? Then wachagga???

Elimikeni
Watz wengi ni wapuuzi sana hao watu they're fucking racist in the world nenda Canada ndio utajua tabia zao wanawabagua mpaka wenzao wa kutoka Bangladesh,Pakistan,Nepal wanajiona bora kuliko wengine
 
Back
Top Bottom