Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
GAMBA!! hali ya hewa ilichafuliwi hivyo!! umeshindwa!!
mchaga ni mzuri akifa
GAMBA!! hali ya hewa ilichafuliwi hivyo!! umeshindwa!!
kuna wakenya kibao wenye makampuni na mambo yao naona yanakwenda fasta
wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana
TAMUCHUNGU.Laana na baraka zinatoka kwa Mungu. Una imaani gani?Au African tradition religion?
acha urongo mi si mchaga na ninapiga kazi katikati ya wachaga na sina tatizo lltwachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana
wataje.acha majibu ya jumla jumla.......au unasema wenye leopard hotel,sal sanero na makampuni ya utalii pamoja na vituo vya mafuta pale kiborloni
buffalo, haluwenge mberesero, chakito,nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani
Unamfahamu Panjwani? usipende kuongea vitu usivyovifahamu..nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani
nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani
Wateja wakuu wa wahindi k-koo ni wachaga...though bidhaa hizo hizo zinapatikana kwa wachaga piaWachagga wajanja, hawezi kununua kitu kwa mhindi wakati kuna ndugu yake ana kitu hichohicho. Nyinyi hata kama nduguyo ana duka bila kwenda kwa muhindi hujaridhika.
Kumekucha Arumeru na sisi kama watanzania tunaotakia mema nchi hii tumeamua kujitoa kwenda kusaidia mapambano huko Arumeru,tumeingia Jiji la Moshi jana mchana na kwa mara ya kwanza nimepata nafasi ya kutembea mji wa moshi baada ya miaka mingi,huwa nakuja moshi kila mwaka lakini kila tukifika moshi tunakuwa hatuna muda wa kutembea na tunaendelea moja kwa moja hadi kijijini kwetu ambako huko hukaa hadi likizo ikiisha na huondoka kwenda stand ya mabasi na kuishia unakotakiwa kwenda,lakini kwa sasa nimepata nafasi ya kutembea jiji hili na kushangaa jinsi maduka makubwa niliyozoea kuyaona wakati nikiwa mdogo hayapo tena,nimeshangaa kuona zile nyumba walizokuwa wanaishi wahindi zimegeuzwa kuwa za biashara mbalimbali ambazo zinaendeshwa na watanzania wenzetu,tulipodadisi tumeambiwa wahindi wamekimbia baada ya kushindwa mashindano ya biashara,kwa kweli nimeshangaa sana kumwona mwafrica akimpiga bao muhindi,kaiz inaendelea tutawaletea update za Arumeru kaeni mkao wa kula!
wahindi hawahitaji tena kuwepo ili watuchune.... tuna viongozi waandamizi serikalini wanalinda mali zao.... think about itulikuwa hujui wachaga hawalali??au unafikiri ni kama wahehe wanavyoburuzwa na waarabu???