Wahindi wahama Moshi

Wahindi Wahama Moshi na Mambo ya arumeru ya husiano gani?? Umeandika hii post ukiwa usingizini nini>>>?

1. So hata ukiwa unaenda sokoni ukakuta mtoto anatumbukia kisimani huwezi ita watu mkasaidiana kumuokoa?? Utaendelea tu kwa sababu lengo lilikuwa ni kununua nyanya??

2. Kaweka bayana jambo zuri sana (kama kweli) as ni ishara kwamba mkoa huo uchumi sasa unaelekea kushikwa na kuendeshwa na wazawa. Kwako hili si jambo zuri kufahamishwa???

3. Usingizi wake uko wapi hapa....huyu ni mtu makini as pamoja na objective yake kubwa ya kwenda Arumeru ameweza kuona mabadiliko from a comparative time frame na ameweka hapa kwanza kutufahamisha na kutupa challenge wenyeji wa mikoa mingine............
 
Tarime kuna mhindi mmoja(Khan) tena kaoa mkurya.Utegi yuko mmoja(Aluu) kaoa mjaluo.Moshi wachaga pamoja na kale ka imani ketu ka kiuchumi hatujatoa binti? Search
 
Chief Thomas Marealle ambaye alikuwa ni Paramount Chief wa Wachagga alipoulizwa huko UN kuhusu uhuru wa Tanganyika mwaka 1960 alisema ifuatavyo ; "Mkoloni atoe uhuru kwa Kilimanjaro na Arusha ndizo zilizokuwa tayari na sehemu zingine za Tanganyika zisubiri kwa miaka 50 ijayo".

Lakini kwa ujasiri wa Baba Wa Taifa haikuwezekana kutoa Uhuru kwa Arusha na Kilimanjaro, instead nchi yote ikapata uhuru mwaka 1961.

Kumsingi wachagga ni selfish, tribalist, discriminative na egoists
 
nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani

Dah! Laana ya Nyerere sio? Anamjua mzee Mtei vizuri sana. Na Lyatonga pia. Na Mareale
 
wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana

Mkuu umeshakwenda Njombe?
Usingewasema wachaga.
 
ulikuwa hujui wachaga hawalali??au unafikiri ni kama wahehe wanavyoburuzwa na waarabu???

We KOMA......Nani kakwambia Mhehe anatawalika kirahisi!?kamuulize Von Zelewisky na Jeshi la Wajerumani pale Lugalo walichokipata!Mwarabu nenda K'goma na Tabora!
 
We KOMA......Nani kakwambia Mhehe anatawalika kirahisi!?kamuulize Von Zelewisky na Jeshi la Wajerumani pale Lugalo walichokipata!Mwarabu nenda K'goma na Tabora!

nina ushahidi wa kutosha,nimekaa iringa kidogo pale mwarabu ana nguvu kuliko muhehe,kwa ujumla muhehe anamwabudu mwarabu,wakuu mna bahati mbaya sana na sijui kama mmeshtukia hilo!
 
Wewe ni muongo umejua je kama awali kulikuwa na wahindi wakati hujawahi kuzunguka ndo umepata huo muda leo? Ukiwa mwongo unatakiwa uwe na kumbukumbu

mkuu shine naomba unaposoma post usijibu kabla hujaelewa,soma tena utaelewa tu
 
Kama unatafuta maendeleo katika maisha ukaenda mkoa ambao hauna Mchagga nakushauri kimbia sana wala usiishi hapo!
 
Mkuu, mbona unajidanganya hivi kuna sehemu yoyote hapa Tanzania wafanyabiashara wa kitanzania wanaweza kuwakimbiza Wahindi kibiashara?

Wahindi wapo kwenye biashara miaka mingi wamekusanya pesa nyingi wakati Watanzania bado wamelala.

Ukiona wameondoka kwenye biashara zetu za kimachinga sio kama wamekimbia wame-Fetch kwenye biashara kubwa za kimataifa.

Ebu jaribu kuangalia viwanda makampuni ya ujenzi mabenki, biashara za Apartment, makampuni ya usafirishaji yote yanamilikiwa na wahindi.

Wakuu tusijifariji na mikopo yetu ya 20 milioni kutoka BOA, AKIBA, CRDB, NBC.

Uchumi wa Tanzania umekamatwa na Wahindi.
 
Na pia unajua ni kwanini Edwin Mtei alitofautiana na Mwalimu? Mtei alimpa mbinu nzuri sana za kiuchumi Mwalimu nadhani Tanzania ingekua kama Dubai sema naye Marehemu hawakukosea kumpa jina la HAAMBILIKI (REST IN PEACE)! Natumaini mmeshaelewa wachagga wako vipi kwenye mbinu za kutafuta maendelo.
 
Mkuu, mbona unajidanganya hivi kuna sehemu yoyote hapa Tanzania wafanyabiashara wa kitanzania wanaweza kuwakimbiza Wahindi kibiashara?

Wahindi wapo kwenye biashara miaka mingi wamekusanya pesa nyingi wakati Watanzania bado wamelala.

Ukiona wameondoka kwenye biashara zetu za kimachinga sio kama wamekimbia wame-Fetch kwenye biashara kubwa za kimataifa.

Ebu jaribu kuangalia viwanda makampuni ya ujenzi mabenki, biashara za Apartment, makampuni ya usafirishaji yote yanamilikiwa na wahindi.

Lakini hela zao wanaweka wapi?
 
Na pia unajua ni kwanini Edwin Mtei alitofautiana na Mwalimu? Mtei alimpa mbinu nzuri sana za kiuchumi Mwalimu nadhani Tanzania ingekua kama Dubai sema naye Marehemu hawakukosea kumpa jina la HAAMBILIKI (REST IN PEACE)! Natumaini mmeshaelewa wachagga wako vipi kwenye mbinu za kutafuta maendelo.

Nyerere alikuwa na tabia ya kuogopa kuny'ang'anywa madaraka
 
"Ukiona Mchaga kajenga, Nawewe hamika karibu karibu ubanane hapo hapo. Maendeleo yatakuja tuu" -Jk (jan 2007)
 
Kama unatafuta maendeleo katika maisha ukaenda mkoa ambao hauna Mchagga nakushauri kimbia sana wala usiishi hapo!

mkuu ulijuwaje hiyo??iandikeni kwenye diaries zenu,point ya muhimu!
 
Back
Top Bottom