Kwanini usichukue shingo? Ina nyama nyingi ujue
Take away bwana hiyo inahitaji utulivu wakati wa kula huku umevua shati na kijimvinyo kwa mbaliTake away ama...!???
Mkia utakua una mafuta mengi sana....kama vipi nihifadhie miwili nimpelekee farkhina afanye vitu vyake.
Hahahahah ukija nakukimbiza na minyoka yako tusitishane alooo
Mbona nyoka ni samaki wa nchi kavu tu? Nyama lainiiiiiiii au haukumaliza darasa la mapishi ya hawa wadudu?