Kuna watu tumepitia mengi ila hautonekani hivyo

Kuna watu tumepitia mengi ila hautonekani hivyo

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
510
Reaction score
901
Nilisha wahi kuwaza kutoweka

Kuna kipindi hata kuiona kesho ilikuwa jambo la kheri, maana nilitamani nikienda kulala nisiamke kabisa.

Nikiona watu wanaishi as if hakuna shida nawaonea huruma na kuwaombea asije pitia niliyo ya pitia maana wasingeweza kutoka.

Kuna watu wana tembea ila huwezi jua ni nini kina wafanya waendelee kuwepo,

Nime amini kupitia tumaini, nimeamini mwili wa binadamu unaweza kustahimili visivyo wezekana, as long as ukiwa mkakamavu na kujua kuwa kesho yenye nuru yaja.

Sometimes you have to walk by faith and not sight.

It always gets better...

Je, ni kipi ulipitia katika maisha na leo ukiangalia nyuma unashangaa umewezaje kuvuka?
 
Kuna watu duniani wanaenjoy life halafu mbinguni unawakuta peponi siti ya mbele kabisa

Halafu kuna kina pwagu na pwaguzi duniani unaenyeka na mbinguni unachomwa
Life is life, mambo ya heaven and hell hayo ni mawazo ya binadamu tu, ukifa ndio imeisha hiyo..
 
Back
Top Bottom