bana, jamaa ana makengeza!
Embu muone huyu mbunge anavyokodolea macho kifua cha mwenzie!!Sidhani kama anamsikiliza anachosema hapo!!![/QUOTE....Hata akiangalia hicho kifua haina tatizo sana....Bofloooooooooooo!!!
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba (R) akiwa na Mbunge vitimaalumu mkoa Shinyanga Esther Bulaya katika viwanja va Bunge
Huyu Serukamba mbona kama mawazo kahamishia kwingine?