Waheshimiwa DOM

Waheshimiwa DOM

Jamaa hata kuzuga kumemshinda, kabaki macho kayakodoa kodo!
 
bana, jamaa ana makengeza!

Huyu jamaa hana kabisa makengeza maana macho yake yameangalia directly kabisa kwenye shakula ya watoto.

Angekuwa na makengeza macho yake yangeonekana kama ameangalia kushoto vile.
 
Mbunge+wa+Kigoma+mjini+Peter+Serukamba+%2528R%2529+akiwa+na+Mbunge+vitimaalumu+mkoa+Shinyanga+Esther+Bulaya+katika+viwanja+va+Bunge.JPG

Inaomekana viwanja ya bungeni bungeni ni finyu sana mbona wamebanana sana hawa waheshimiwa na nyuma yao kanaonekana kama kachoo ka shimo hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????
 
Mh wa Kike alivaa cheni vibaya, hiyo cheni haiko vizuri hivo mwenzie anamshangaa
 
Ushaambia mbungwa wa viti maalumu yupo kikazi zaidi
 
Embu muone huyu mbunge anavyokodolea macho kifua cha mwenzie!!Sidhani kama anamsikiliza anachosema hapo!!![/QUOTE....Hata akiangalia hicho kifua haina tatizo sana....Bofloooooooooooo!!!
 
Naona Shina ta titi lilishaanza kuonyesha weupe flani, labda ndo maana.
 
Mbunge+wa+Kigoma+mjini+Peter+Serukamba+%28R%29+akiwa+na+Mbunge+vitimaalumu+mkoa+Shinyanga+Esther+Bulaya+katika+viwanja+va+Bunge.JPG


Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba (R) akiwa na Mbunge vitimaalumu mkoa Shinyanga Esther Bulaya katika viwanja va Bunge

Huyu Serukamba mbona kama mawazo kahamishia kwingine?

Mmmh sikujuwa Mh. Bulaya ni wa Shinyanga...mie nilifikiri anawakilisha mkoa wa Mara au siku hizi Shinyanga na Mara ni mkoa mmoja.....U never know maana siku hizi kuna maamuzi mengi tu ya kuanzisha mikoa mipya na kuunganisha ya zamani..teh..teh..teh.
 
Back
Top Bottom