Hakika ya kale ni dhahabu ,ni mengi tuliyafanya enzi zetu lakini kutokana na sayansi na teknolojia mambo yamebadilika kabisa.
Haya ni machache kati ya mengi tuliyofanya enzi zetu.
1: kijiji kizima kulikuwa na duka moja la ushirika siku bidhaa ikiletwa wananchi wanajipanga mstari kupokea japo kidogo.
2: hakukuwa na mashine za kusaga au kukoboa ila mashine zetu zilikuwa mawe unakaanga mahindi yakipata joto unasanga kwenye jiwe.
3:gari la kwenda mikoani lilikuwa linapita Mara moja kwa mwezi .
4:kifungua kinywa cha watoto kilikuwa kiporo cha ugali pamoja na chumvi.
5: kutokana na uaba wa sabuni tulitumia majani ya miti kuyafikicha na kutoa mapovu watu wa ziwani nahisi watanielewa vyema,majani hayo yalipatikana ziwani.
6: watoto wa kiume walitahiliwa kwa kutumia visu vidogo tena bila ganzi yaani kavukavu.
7: wakati wa kupata chakula wanaume walikaa sehemu yao na wanawake walikaa sehemu yao.
8: mafuta ya kula hayakuwepo ila tulitumia sana samuli .
9:mke na mme wakitofautiana ndoa haivunjiki bali mke uenda upande wa mme wake ili kupata suruhu na baada ya hapo maisha uendelea.
10:vyakula vyetu havikukobolewa kabisa ..
Ahsate
Karibuni kwa nyongeza