Wahenga Season 5

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,920
16,199
hivi yule muhenga aliyesema "hata vikombe kabatini hugongana" alifikilia nini mpaka akasema hivyo???
nimeweka glass mbili kabatini mpaka leo bado vipo pale pale havijahama wala kugusana, sasa huyu muhenga alifikiria nini mpumbavu huyu

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
wivu tu ulimjaa maana hakua na ela ya kununulia vikombe... kavikuta kwa jirani vimependezesha kabati macho yakamtoka

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
hivi yule muhenga aliyesema "hata vikombe kabatini hugongana" alifikilia nini mpaka akasema hivyo???
nimeweka glass mbili kabatini mpaka leo bado vipo pale pale havijahama wala kugusana, sasa huyu muhenga alifikiria nini mpumbavu huyu

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
Ndio maana alikataa kupiga picha kwa miuongo yake!
 
Back
Top Bottom