Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
....
Hata wew huwa inakuwa hivyo ?Hiyo ni tabia nzuri....usiiache
Ni jambo la kawaida sana
Hata mimi ilikuwa hivyo mara mojaHata wew huwa inakuwa hivyo ?
BTW Ushafunga pingu za maisha ?
Kwa sasa ukitokea, utaendeleza mawasiliano au sioHata mimi ilikuwa hivyo mara moja
Ya nini säsa?ili iweje?Kwa sasa ukitokea, utaendeleza mawasiliano au sio
SawaYa nini säsa?ili iweje?
Sababu ya ku break ninini?Habari za jion hii, mabibi na mabwana.
Ningependa kuwashirikisha tatizo moja nililonalo nkiamini kwamba ndani ya jukwaa hili kuna wakongwe na wahenga katika suala zima la mahusiano.
issue ipo hivi , nimewahi kuwa kwenye mahusiano na wakina dada kadhaa, tatizo linakuja pale ambapo unakuta uhusiano wetu unafikia hatua ya ku break. Mara nyingi nkisha break mahusiano huwa sina kabisa mood ya kuwasiliana jambo lolote na huyo niliyeachana naye. Yaani hata akinipigia simu naona karaha kuipokea.
Sasa naomben kufaham uzoez wenu juu ya hili suala.
Je ni jambo la kawaida kukosa mood ya kuwasiliana na mtu uliyaachana nae kwa namna yoyote ile ?
NB: kwa sasa nipo single, naendelea kujifanyia self evaluation kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya.
Wengine wanakupigia ili wakwambie uwahi kutumia ARV mkuu usipuuzeHabari za jion hii, mabibi na mabwana.