Wahenga nahitaji mawazo, kutokuwa na hamu ya kuwasiliana na mpenzi niliyeachana nae

Umemuacha au mmeachana? Cm znatoka wap sasa?
NB usiwe mwepesi kuachana achana utashindwa kuishi na umpendae
 
Habari za jion hii, mabibi na mabwana.

Ningependa kuwashirikisha tatizo moja nililonalo nkiamini kwamba ndani ya jukwaa hili kuna wakongwe na wahenga katika suala zima la mahusiano.

issue ipo hivi , nimewahi kuwa kwenye mahusiano na wakina dada kadhaa, tatizo linakuja pale ambapo unakuta uhusiano wetu unafikia hatua ya ku break. Mara nyingi nkisha break mahusiano huwa sina kabisa mood ya kuwasiliana jambo lolote na huyo niliyeachana naye. Yaani hata akinipigia simu naona karaha kuipokea.

Sasa naomben kufaham uzoez wenu juu ya hili suala.

Je ni jambo la kawaida kukosa mood ya kuwasiliana na mtu uliyaachana nae kwa namna yoyote ile ?

NB: kwa sasa nipo single, naendelea kujifanyia self evaluation kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya.
Sababu ya ku break ninini?
 
Inategemeana tumeachana vipi? Kupokea simu na pokea kama kawaida maana hauwezi jua anashida gani/habari gani. Hali kama hiyo ya kwako mara nyingi hutokea siku za kwanza kwanza ila nikisharudi katika hali ya kawaida sioni tabu kupokea simu au kujibu sms. Ila hisia juu yake zinapotea kabisa namchukulia kama rafiki tu.
 
Hapo inategemea sababu za kuachana na mazingira.siruhusu haya mawasiliano kabisa hasa km wote mumeamua kuuvunja huo uhusiano.
 
Habari za jion hii, mabibi na mabwana.

Ningependa kuwashirikisha tatizo moja nililonalo nkiamini kwamba ndani ya jukwaa hili kuna wakongwe na wahenga katika suala zima la mahusiano.

issue ipo hivi , nimewahi kuwa kwenye mahusiano na wakina dada kadhaa, tatizo linakuja pale ambapo unakuta uhusiano wetu unafikia hatua ya ku break. Mara nyingi nkisha break mahusiano huwa sina kabisa mood ya kuwasiliana jambo lolote na huyo niliyeachana naye. Yaani hata akinipigia simu naona karaha kuipokea.

Sasa naomben kufaham uzoez wenu juu ya hili suala.

Je ni jambo la kawaida kukosa mood ya kuwasiliana na mtu uliyaachana nae kwa namna yoyote ile ?

NB: kwa sasa nipo single, naendelea kujifanyia self evaluation kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya.
Wengine wanakupigia ili wakwambie uwahi kutumia ARV mkuu usipuuze
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom