Wahenga na maarifa ya tiba asili

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,181
Ninakumbuka nikiwa mdogo, bibi alitukataza kula nyama ya ng’ombe ukiwa na mafua. Alisema inaamsha khambaku.

Ukubwani nimekuja kugundua kuwa red meat, dairy products, mahindi mabichi vina activate production ya mucus kwenye mucus goblets kwa baadhi ya watu.

Unakumbuka dawa gani uliambiwa na wahenga?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom