Wahenga mnaikumbuka hii?

Wahenga mnaikumbuka hii?

Zamani kitu chochote ambacho ni multipurpose walikua wanakiita malaya .. mfano funguo malaya , spana malaya n.k
 
Dah ina maana namimi muhenga! Maana me hiyoki2 badonatumia kwenye kibaiskel changu
 
Back
Top Bottom