kakondolo ulaya hapo majira haya ukiwa na nyamtuto we acha tu..........
Wapoooo!,lakini mbona kadogo.
mdesi mkubwa wewe hiyo pembeni in bahari. iringa na bahari wapi na wapi
mdesi mkubwa wewe hiyo pembeni in bahari. iringa na bahari wapi na wapi
Amewauliza Wahehe mpo?. kwani wahehe wanaogopa kuishi karibu na Bahari?. usikute walisogeza karibu na maji ili wakasafishe vizuri kamboga kao
sasa wewe muhavi umejuaje?