KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Shemeji nimekuona unalalamika kitambo!
Acha kulalami mpenzi , hayo ni matukio tu!
Afu kwa taarifa mi wahaya ni watani zangu , na hapa nilikua sijawananga wanung'una! Ningeweka na utani shem sijui ungepovu ?
Hahaaaa shem, mm hadi povu linitokeee loooh.
Just to say, vingine mna exagrate jamani.
Uko powa lakini? YNNAH mzim? Mwambie namsalimia
Last edited by a moderator: