Wahaya wengi ni wasomi lakini Kagera ni maskini kwanini?

Kumbe zile sifa za vipesa vya mboga ni maneno tupu, hakuna mwenye uwezo wa kujenga stendi kwa pesa zake za mfukoni, hahahaha..........punguzeni sifa ili tuweze kuwachangia
Hujanijibu ni wap tz stendi imejengwa na watu binafsi.

Mtu anajisifia pesa zake binafsi alizozifightia halafu eti akajenge stendi serikali inafanya KAZI gan Kwan watu hawalipi Kodi bukoba?
 
Hawa jamaa hata movi za kibongo pale Bukoba mjini wanatafsiri kihaya haaaa
Sasa si ni uhayani .msiwalazimishe watu wafuate utamadun wasioutaka?

Sijui watz mna matatizo gan ndo maana wahaya uwadharau maana hamna hata chembe ya kufikiria
 
Wanachojali wahaya ni kusoma na ku show off tu ila hawapendi maendeleo. Ebu angalia, misifa yote wanayojipa mtu usipowajuwa utafikiri huko Bukoba wanakotoka ni London. Yaani jiji la hovyo shinda hata Kigoma mjini au Sumbawanga, binafsi huwa siwatilii maanani, nawaachaga tu wakiongea broken English yao yenye lafudhi ngumu ya Kihaya.
 
Hujaona mtu hajasoma lkn anamiliki Mali za kufa mtu? Kagera kusoma sio ndo kutokuwa masikini washomile mbakaa form four but no job
 
Hawa jamaa hata movi za kibongo pale Bukoba mjini wanatafsiri kihaya haaaa
Kwetu kihaya ni lugha kubwa kuzidi hata ya English. We always feel proud and superior tukizungumza kihaya. Sio wengine hata mkiwasikia wenzenu wanaongea kilugha chenu mnajidai hamkijui mnaogopwa kuchekwa. Kwetu kujulikana mhaya ni sifa, kinyume na wengine ambapo ni aibu
 
Hahah jamaa wanaonaga kihaya ni kama kihspaniola vile mkuu.

Ukienda kwny ofisi za serikali yaani kila sehemu utasikia tu iweee iweeee utadhani kila mtu anajua hio iweee ni nini jamaa kumsengenya mtu akiwa hapo hapo kwa kilugha chao wala kwao sio inshu na ndio maana wafanyakazi walikuaga wakipangiwa huko kama sio wahaya wanagoma kwenda/wanatafuta uhamisho chap chap.

Hawa jamaa hata movi za kibongo pale Bukoba mjini wanatafsiri kihaya haaaa
 
Vision napotarfsi liwa hili kwenda kihaya Bukoba mjini maana yake nn
Kwani mjini hawaongei kihaya?? Huku kwetu hadi maofisi ya serikali kinaongewa kihaya mkuu. Kama ulikuwa hujui Wahaya na wachaga walitakiwa wawe na nchi zao wenyewe. Maana wanajitosheleza karibu kwa kila kitu hata utamaduni wao unajitosheleza!

Uaifananishe Bukoba na kwenu huko mnapoona Kiswahili ni lugha kubwa. Kiswahili ni kalugha ka kutuunganisha na wenzetu wasio wahaya ila sio ka kuwasiliana sisi wahaya.

Ndo maana mnaacha lugha zenu pembeni nyie kwa nyie mnaongea kiswahili. Shame on you
 
Hahah jamaa wanaonaga kihaya ni kama kihspaniola vile mkuu.

Ukienda kwny ofisi za serikali yaani kila sehemu utasikia tu iweee iweeee utadhani kila mtu anajua hio iweee ni nini jamaa kumsengenya mtu akiwa hapo hapo kwa kilugha chao wala kwao sio inshu na ndio maana wafanyakazi walikuaga wakipangiwa huko kama sio wahaya wanagoma kwenda/wanatafuta uhamisho chap chap.
Hamniamini ndo maana mnahisi mnasengenywa
 
Nimefika Misenyi 2011 hali ilikuwa mbaya tulietembea na mkalimani ila Leo sijui
 
Wanachojali wahaya ni kusoma na ku show off tu ila hawapendi maendeleo. Ebu angalia, misifa yote wanayojipa mtu usipowajuwa utafikiri huko Bukoba wanakotoka ni London. Yaani jiji la hovyo shinda hata Kigoma mjini au Sumbawanga, binafsi huwa siwatilii maanani, nawaachaga tu wakiongea broken English yao yenye lafudhi ngumu ya Kihaya.
Inaonekana huijui Kigoma wewe. Hayo tuyaache mkuu usije ukakosa pa kukimbilia
 
Kwani mjini hawaongei kihaya?? Huku kwetu hadi maofisi ya serikali kinaongewa kihaya mkuu. Kama ulikuwa hujui Wahaya na wachaga walitakiwa wawe na nchi zao wenyewe. Maana wanajitosheleza karibu kwa kila kitu hata utamaduni wao unajitosheleza!

Uaifananishe Bukoba na kwenu huko mnapoona Kiswahili ni lugha kubwa. Kiswahili ni kalugha ka kutuunganisha na wenzetu wasio wahaya ila sio ka kuwasiliana sisi wahaya.

Ndo maana mnaacha lugha zenu pembeni nyie kwa nyie mnaongea kiswahili. Shame on you
Jamani ina inatosha hawa ni wa Tanzania wana haki na tamaduni yao.... Hivi kihaya kinafubdishwa mashuleni
 
Nimefika Misenyi 2011 hali ilikuwa mbaya tulietembea na mkalimani ila Leo sijui
Hata leo ni hivyo hivyo. Mkalimani alikuwa anawatasfiria nyie msioelewa kihaya. Hata ukienda China utatafsiriwa tu, haimaanishi wachina ni wajinga kwa kuwa hawajui English. Jinga sana weye
 
Jamani ina inatosha hawa ni wa Tanzania wana haki na tamaduni yao.... Hivi kihaya kinafubdishwa mashuleni
Huku kuna shule za kihaya makanisani. Ibada zote pia zinaendeshwa kwa kihaya. Vitabu vyoye bible na kila kitu vipo katika kihaya. Karibu ufundishwe uhayani.
 
Back
Top Bottom