Wahasibu na CPA, wagavi na CPSP

baraker88

Senior Member
Feb 26, 2014
124
147
Habari wadau wa JF
Hongereni wahasibu na wakaguzi kwa CPA kupandishwa hadhi kwa kufikisha mshahara Hadi TGS-F, leo niliona walaka unaotoa mwongozo huo,
Naomba kuuliza vp kunawalaka wowote uliotoka kwa wagavi Unaotoa mwongozo wa mshahara kwa CPSP holders?

Nawasilisha .
 
huo walaka umetolewa lkn kuna sector na taasisi haziwalipi hivyo watumishi.. pia suala la wagavi kaka ni tatzo sana kwa tanzania
 
huo walaka umetolewa lkn kuna sector na taasisi haziwalipi hivyo watumishi.. pia suala la wagavi kaka ni tatzo sana kwa tanzania
Walaka ndio umetoka, utekelezaji wake Hadi bajeti itakayoanza 1july mwaka huu
 
Back
Top Bottom