Wahariri Tanzania wafunga ndoa na mafisadi

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Sasa ni rasmi kwamba baadhi ya wahariri tz wamefunga ndoa na mafisadi na majizi wengine. Kwa kupenda vya bure wamenunuliwa na wakuu wa mashirika, wanasiasa walafi na tycoons karibu wote.

Editors wamebadilika from think tanks to boot lickers. Rais mpya don't count on editors in the fight against graft kwani wao ndio agents wa ufisadi nchini. Usiwachekee baadhi yao ni ndumilakuwili.
 
wapo wengi sana, hawaangalii yale mema yanayofanywa kazi yao ni kuponda tu hata kwenye mioyo yao wanajua ni ukweli. Imefikia hatua naona bora nisome udaku tu nijue moja
 
Sasa ni rasmi kwamba baadhi ya wahariri tz wamefunga ndoa na mafisadi na majizi wengine. Kwa kupenda vya bure wamenunuliwa na wakuu wa mashirika, wanasiasa walafi na tycoons karibu wote.

Editors wamebadilika from think tanks to boot lickers. Rais mpya don't count on editors in the fight against graft kwani wao ndio agents wa ufisadi nchini. Usiwachekee baadhi yao ni ndumilakuwili.

TUHUMA DHIDI YA WAHARIRI ZAWEZA KUWA ZA KWELI AU SIO ZA KWELI LAKINI MTOA UZI ANGEANDIKA NDOA ILIYOFUNGWA, IMEFUNGWA WAPI NA MAFISADI HUSIKA ILI WATANZANIA WAANZE KUPIMA KWA KUANGALIA AINA YA UANDISHI WA HABARI ZINAZOANDIKWA ZIKIWA NA UHUSIANO NA MAFISADI
 
Good observation. Tuna tatizo kubwa sana na waandishi wa habari, wakiongozwa na hao wahariri uliowataja. Kwao impartiality, objectivity, professionalism, si vitu muhimu tena, ila bahasha
 
Sasa ni rasmi kwamba baadhi ya wahariri tz wamefunga ndoa na mafisadi na majizi wengine. Kwa kupenda vya bure wamenunuliwa na wakuu wa mashirika, wanasiasa walafi na tycoons karibu wote.

Editors wamebadilika from think tanks to boot lickers. Rais mpya don't count on editors in the fight against graft kwani wao ndio agents wa ufisadi nchini. Usiwachekee baadhi yao ni ndumilakuwili.
Mbaya zaidi, mafisadi wakongwe na wakwepa kodi wakubwa wanamiliki vyombo vya habari.
 
Wahariri wa Bongo kiboko yao Jakaya!Walimlamba Viatu 10 years 1995-2005 alipoapushwa tu akapandisha vioo mpaka kastaafu!
Hasira zikahamia kwa Serikal yake! Hawakukoma shobo 2015 wanaenda kwa Minywele bahati mbaya Jk akawa pin tena!
 
Kibaya zaidi waandishi na wahariri wamejijengea uhalali wa kuwasema watu na kuwanyanyasa kwa sababu tu wao wanapo mahali pa kusemea, Journalism yetu ni lazima itungiwe mamlaka ya kuisimamia. Maadili ya kazi huwepo ikiwa kuna uwepo wa mamlaka inayoratibu utendaji kazi wa sekta nzima.
 
Sasa ni rasmi kwamba baadhi ya wahariri tz wamefunga ndoa na mafisadi na majizi wengine. Kwa kupenda vya bure wamenunuliwa na wakuu wa mashirika, wanasiasa walafi na tycoons karibu wote.

Editors wamebadilika from think tanks to boot lickers. Rais mpya don't count on editors in the fight against graft kwani wao ndio agents wa ufisadi nchini. Usiwachekee baadhi yao ni ndumilakuwili.
Sasa kama elimu zenyewe ndo hizi ZA HAPA NA PALE unategemea nini?? Walafi tu.
 
Back
Top Bottom