Wahariri Tanzania wafunga ndoa na mafisadi

Sasa ni rasmi kwamba baadhi ya wahariri tz wamefunga ndoa na mafisadi na majizi wengine. Kwa kupenda vya bure wamenunuliwa na wakuu wa mashirika, wanasiasa walafi na tycoons karibu wote.

Editors wamebadilika from think tanks to boot lickers. Rais mpya don't count on editors in the fight against graft kwani wao ndio agents wa ufisadi nchini. Usiwachekee baadhi yao ni ndumilakuwili.
Udhaifu wao ulionekana wazi wakati wa kampeni za uchaguzi
 
Sasa ni rasmi kwamba baadhi ya wahariri tz wamefunga ndoa na mafisadi na majizi wengine. Kwa kupenda vya bure wamenunuliwa na wakuu wa mashirika, wanasiasa walafi na tycoons karibu wote.

Editors wamebadilika from think tanks to boot lickers. Rais mpya don't count on editors in the fight against graft kwani wao ndio agents wa ufisadi nchini. Usiwachekee baadhi yao ni ndumilakuwili.
sio bure utakuwa kwenye heat period naona unawashwa sana na lazima upewe mimba
 
Waliyemtegemea kakatwa na hawana ulaji tena
 
kama kiongozi msaidizi wa spika bungeni ni fisadi lililokubuhu sembuse wahariri wa magazeti?
 
Sasa ni rasmi kwamba baadhi ya wahariri tz wamefunga ndoa na mafisadi na majizi wengine. Kwa kupenda vya bure wamenunuliwa na wakuu wa mashirika, wanasiasa walafi na tycoons karibu wote.

Editors wamebadilika from think tanks to boot lickers. Rais mpya don't count on editors in the fight against graft kwani wao ndio agents wa ufisadi nchini. Usiwachekee baadhi yao ni ndumilakuwili.

Ngoja waje utashangaa.....Kuna kitu kinaitwa Tanzania Editors Forum...wao safari zao hugharimiwa na baadhi ya taasisi, sasa tuone watasemaje..
 
Back
Top Bottom