NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 592
Ni kweli wengi ni wanafiki walikuwa wanachekacheka! sijui walikuwa wanafikiri atawatangazia kuwateua baadhi yao kuwa wakuu wa wilaya,maana huelewi unakuta mtu an confidence za kuandika makala za kukosoa serikali na mkuu wa nchi akifika mbele yake anshindwa kuuliza maswali ya kumeweka mkuu wa nchi akione kile kiti ni cha moto!
kuna watu walichanjiwa/walimezeshwa hirizi ya simba mnyama ukikutana nao kila ulichopanga kusema huyeyuka kama ice cream, ndicho kilichowatokea hao jamaa na wengine wote wänaokabiliana na mtu huyo! Ngoja siku aingie humu jf utaona watakaorespond kwenye post zake watakuwa wana vitete pia!