Wahanga wa kuzimu/jehanam

Wahanga wa kuzimu/jehanam

Umejibu sawa sawa kabisa.Jua haliwezi kuwa Uncaused Cause (God) of energy.Mpaka sasa tafiti zinaonyesha kuwa kuna Majua mengi sana.Galaxy ya Praxima Centauri inalo jua pia.Tunapozungumza juu ya Mungu tunazungumza juu ya nguvu moja na pekee inayofanya na kuendesha nguvu zingine zote.That is the Cause outside the Universe.Jua is a member to the Universe set.Tunapoongea juu ya Mungu tunaongea juu ya "mchoraji" (msababishaji) wa set hiyo.
 
Ushahidi wa kuwepo kwa Roho uko wapi?
Kama Mungu ni Roho, maana yake hashikiki, hahisiki, hasikiki, wala haonekani....sasa aliwasiliana vipi na wanadamu na kuwapa sheria zake?

Its true that ''Energy can neither created no destroyed'' but the source of energy present in the solar system is the Sun.....So does it mean that the source/origin of God is Sun if we consider God to be energy?
Aliwatuma wajumbe wake kuwafikishia ujumbe wengine.Lakini mtume Mussa alayhisalaamu aliongeleshwa na Muumba.Kama ilivyokuja katika Qur'an tukufu.Anasema Mola aliyetukuka :

"Na Mola akamzungumzisha Mussa maneno"
 
Mkumbushe kuwa wanasayansi waliomfundisha Emprically walimfundisha pia kuwa Energy can exist in any form.Ndio kusema inaweza kuchukua au kuwa katika umbo lolote lile.Kama ndivyo basi roho (energy) hashindwi kutwaa mwili.Kama anapenda kujifunza tunaweza kumrejesha katika Injili ya Yohana aone jinsi energy (roho) ilivyoumba ulimwengu."Hapo Mwanzo kulikuwepo Neno naye....Na kila kitu kilifanyika kwa huyo neno .....Na bila huyo neno hakuna ambacho kingefanyika(Universe)."
Mkuu kwahiyo ndio kusema Mungu ndiyo Energy?
 
Aliwatuma wajumbe wake kuwafikishia ujumbe wengine.Lakini mtume Mussa alayhisalaamu aliongeleshwa na Muumba.Kama ilivyokuja katika Qur'an tukufu.Anasema Mola aliyetukuka :

"Na Mola akamzungumzisha Mussa maneno"
Je mazungumzo ya Mungu na Musa yalifanyika kwa namna gani?

Nani aliyeshuhudia?

Vipi kama Musa ndiye mtunzi wa yote na kuwalisha watu kwa kutumia label ya Mungu?
 
Biblia. Mhubiri 9:10
[10]Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.
 
Je mazungumzo ya Mungu na Musa yalifanyika kwa namna gani?

Nani aliyeshuhudia?

Vipi kama Musa ndiye mtunzi wa yote na kuwalisha watu kwa kutumia label ya Mungu?
Alimzungumzisha maneno kwa sauti.Vipi awe yeye wakati alikuwa anapewa ujumbe kupitia mjumbe.Na Mussa alayhi salaam yake ni torati kitabu kitukufu

Jibu ni kuwa hakuandika na ndio hakika ya mambo.
 
Aliyeshudia ni Mussa na sisi hizo habari zimenukuliwa katika Qur'an tukufu kama ilivyo haikuacha kitu.
 
Je mazungumzo ya Mungu na Musa yalifanyika kwa namna gani?

Nani aliyeshuhudia?

Vipi kama Musa ndiye mtunzi wa yote na kuwalisha watu kwa kutumia label ya Mungu?
Musa ni mtume na ni nabii hafanyi khiyana katika ujumbe aliopewa na hakufanya hivyo aliwafikishia wenzi wake kile alichopewa na Allah.

Kwahiyo swali lako ni la kizushi kwa maana kalamu imeshanyanyuka katika hilo na haliwezi kutokea na halikutokea kwahiyo kuendelea kujadili kisichowezekana ni kuooteza muda.

Yaani swali lako si la msingi sababu Mussa alayhi salaam alichaguliwa na Allah na hakuzua katika yale aliyowajibishwa ayafikishe kwa wenza wake.

Kwahiyo uliza maswali timamu.
 
Alimzungumzisha maneno kwa sauti.Vipi awe yeye wakati alikuwa anapewa ujumbe kupitia mjumbe.Na Mussa alayhi salaam yake ni torati kitabu kitukufu

Jibu ni kuwa hakuandika na ndio hakika ya mambo.
Lakini swali la msingi ni kitu gani kilichokupelekea kudhani ya kuwa Mussa alayhi salaam yaweza alitumia kivuli cha Muumba kuyasema aliyoyasema au mfano wake ?

Na kuhusu suala la nani alishuhudia kipindi alipokuwa anazungumzishwa na Mola wake,hilo siwezi kulijibia sababu sina elimu nalo.
 
Musa ni mtume na ni nabii hafanyi khiyana katika ujumbe aliopewa na hakufanya hivyo aliwafikishia wenzi wake kile alichopewa na Allah.

Kwahiyo swali lako ni la kizushi kwa maana kalamu imeshanyanyuka katika hilo na haliwezi kutokea na halikutokea kwahiyo kuendelea kujadili kisichowezekana ni kuooteza muda.

Yaani swali lako si la msingi sababu Mussa alayhi salaam alichaguliwa na Allah na hakuzua katika yale aliyowajibishwa ayafikishe kwa wenza wake.

Kwahiyo uliza maswali timamu.
Haya maswali ulivyojibu kwa post tatu za jazba ni dhahiri hujui tofauti kati ya timamu na wehu,....hivyo hujui unasimamia wapi.
 
Umejibu sawa sawa kabisa.Jua haliwezi kuwa Uncaused Cause (God) of energy.Mpaka sasa tafiti zinaonyesha kuwa kuna Majua mengi sana.Galaxy ya Praxima Centauri inalo jua pia.Tunapozungumza juu ya Mungu tunazungumza juu ya nguvu moja na pekee inayofanya na kuendesha nguvu zingine zote.That is the Cause outside the Universe.Jua is a member to the Universe set.Tunapoongea juu ya Mungu tunaongea juu ya "mchoraji" (msababishaji) wa set hiyo.
Kaka unaweza kuthibisha ya kuwa hayo yasemwayo na wanasayansi ni ya kweli ya kuwa kuna majua mengi ?
 
Bila shaka ndio sababu ya kuuliza swali kwa kusema Swali la kijinga.
Nimeita swali la kijinga kwa sababu sikutaka mtu anukuu post yangu halafu aishie tu kuniambia swali langu la kijinga.

Lakini ni swali lenye maana.
 
Haya maswali ulivyojibu kwa post tatu za jazba ni dhahiri hujui tofauti kati ya timamu na wehu,....hivyo hujui unasimamia wapi.
Kaka kitengeneze kiti chako kwanza ndio ukitie nakshi.

Anza kuchambua hoja zangu kielimu na uzitoe dosari sio unaongea juu juu tu.Nikisema timamu mzee ujue namaanisha na ninajua maana yake mpaka asili ya tamko timamu na huko lilikotoka wanalitumiaje.Kwahiyo wewe zivunje hoja zangu kwa nguvu ya hoja sio wasi wasi na jazba naijua vile vile kwa ufahamu kama wa tamko timamu.

Labda kama unalo jingine ila kwa tamko timamu nimemaanisha na ninalijua pia.Halafu uwe ujajibu maswali yangu.
 
Kaka unaweza kuthibisha ya kuwa hayo yasemwayo na wanasayansi ni ya kweli ya kuwa kuna majua mengi ?[/QUO

Kwani na hili Jua lilofunika mwezi juzi juzi hapa (na watu wengi kushangilia na kutaka tena mwakani serikali ilipeleke huko huko Rujewa) wewe imekuwaje unakubali lipo? Wewe uliamini jua limepatwa na kuonekana kwa ufasaha huko Rujewa je ulikuweko Rujewa au uliaminije?
 
Back
Top Bottom