Wahanga wa kuzimu/jehanam

Wahanga wa kuzimu/jehanam

Swali la kijinga.

Hivi tunapoenda hospitali kupima ili kujua ugonjwa unaotusumbua na baada ya kuambiwa aina ya ugonjwa unaotusumbua na kupewa dawa, Je ni kipi kinatufanya tukubali kuwa hiyo dawa ndiyo sahihi kwa ugonjwa tunaoumwa na si vinginevyo?
 
Sa

Hebu soma vizuri sana na kwa utulivu.Kun watu wanasoma kwa kutumia kichwa tu.Kuna watu wanasoma kwa kutumia moyo.Kuna watu wanasoma kwa kutumia kichwa na moyo.Jaribu kutumia vyote viwili na utaambulia kitu tofauti na uelewa wako wa siku zote.
Arguments for God's Existence
Ebu na wewe rudia kusoma hizo Arguments uone zilivyo Man made ideas ambazo hazitoshi kuthibitisha uwepo wa Mungu.
 
Ushahidi wa kuwepo kwa Roho uko wapi?
Kama Mungu ni Roho, maana yake hashikiki, hahisiki, hasikiki, wala haonekani....sasa aliwasiliana vipi na wanadamu na kuwapa sheria zake?

Its true that ''Energy can neither created no destroyed'' but the source of energy present in the solar system is the Sun.....So does it mean that the source/origin of God is Sun if we consider God to be energy?
Kwa mujibu wa maandiko nikisema ni roho haina maana kuwa hawezi kuvaa mwili lakini kumbuka kinachotoka ni sauti sawa na mwanga kwenye taa ama sauti ya kitu
 
Swali la kijinga.

Hivi tunapoenda hospitali kupima ili kujua ugonjwa unaotusumbua na baada ya kuambiwa aina ya ugonjwa unaotusumbua na kupewa dawa, Je ni kipi kinatufanya tukubali kuwa hiyo dawa ndiyo sahihi kwa ugonjwa tunaoumwa na si vinginevyo?
Kama mtu ana ugonjwa mfano Malaria, ina maana ana vijidudu vilivyopo mwilini mwake vinavyosababisha huo ugonjwa.Tafiti zinafanyika kuchunguza hivyo vijidudu na kujua kila kitu kuvihusu.Mwisho wake wanasayansi wanavitengenezea sumu ya kuviua.Iwapo mtu atakuwa mgonjwa kwa kuingiliwa na hivyo vijidudu, atakwenda hosipitali na kufanyiwa uchunguzi ili kujua aina ya vijidudu vinavyomsumbua, baada ya hapo atapewa sumu(dawa) ya kuviua.

Tunakubali kuwa hiyo ni dawa sahihi kwa sababu kuna ushahidi wa kutosha jinsi zinavyofanya kazi.
 
Kwa mujibu wa maandiko nikisema ni roho haina maana kuwa hawezi kuvaa mwili lakini kumbuka kinachotoka ni sauti sawa na mwanga kwenye taa ama sauti ya kitu
Mshana ebu jibu maswali yote kwenye post yangu uliyoquote mara ya mwisho.
 
Sawa yawezekana ukawepo kweli huo ushahidi lakini pale hospitali huwa hapatolewi ushahidi wala hakuna mgonjwa mwenye kuulizia ushahidi wa dawa anayopewa. Je,kipi kinafanya wagonjwa kukubali bila kudai ushahidi?
 
Kwa mujibu wa maandiko nikisema ni roho haina maana kuwa hawezi kuvaa mwili lakini kumbuka kinachotoka ni sauti sawa na mwanga kwenye taa ama sauti ya kitu
Mkumbushe kuwa wanasayansi waliomfundisha Emprically walimfundisha pia kuwa Energy can exist in any form.Ndio kusema inaweza kuchukua au kuwa katika umbo lolote lile.Kama ndivyo basi roho (energy) hashindwi kutwaa mwili.Kama anapenda kujifunza tunaweza kumrejesha katika Injili ya Yohana aone jinsi energy (roho) ilivyoumba ulimwengu."Hapo Mwanzo kulikuwepo Neno naye....Na kila kitu kilifanyika kwa huyo neno .....Na bila huyo neno hakuna ambacho kingefanyika(Universe)."
 
Sawa yawezekana ukawepo kweli huo ushahidi lakini pale hospitali huwa hapatolewi ushahidi wala hakuna mgonjwa mwenye kuulizia ushahidi wa dawa anayopewa. Je,kipi kinafanya wagonjwa kukubali bila kudai ushahidi?
Kwenye huo mkasa, mwenye makosa ni nani?
 
Mkumbushe kuwa wanasayansi waliomfundisha Emprically walimfundisha pia kuwa Energy can exist in any form.Ndio kusema inaweza kuchukua au kuwa katika umbo lolote lile.Kama ndivyo basi roho (energy) hashindwi kutwaa mwili.Kama anapenda kujifunza tunaweza kumrejesha katika Injili ya Yohana aone jinsi energy (roho) ilivyoumba ulimwengu."Hapo Mwanzo kulikuwepo Neno naye....Na kila kitu kilifanyika kwa huyo neno .....Na bila huyo neno hakuna ambacho kingefanyika(Universe)."
....hapo mwanzo alikuwepo neno (conscious energy)naye neno alikuwepo kwa Mungu(conscious mind)naye neno alikuwa Mungu (conscious energy plus conscious mind = conscious soul)....
 
Mshana ebu jibu maswali yote kwenye post yangu uliyoquote mara ya mwisho.
Nimeangalia tena nikaona ni kama nimekujibu kwa ujumla wake kwakuwa kama ni kuhusu jua huwezi kuchukulia kuwa ndio energy pekee itakuwa ni kutowaza vema
Labda tu kama sijakuelewa vema unaweza kuniuliza kwa njia nyepesi zaidi
 
View attachment 400899Kuna maneno nimewahi kuyasikia mahali, mkulu mmoja akinena na kusemezana na watu wake kuwa anataka tabaka fulani liishi kama shetani! Leo hii kwenye post hii ningependa kupingana naye kwa nia njema kabisa! Kama kuna mtu au watu wanaishi maisha ya kifahari hapa duniani basi ni wale wanaomtii shetani..labda kama alimaanisha kuzimu/jehanam ila akakosea kidogo kutofautisha kati ya kuzimu/jehanam na shetani
Huko mahali sio kizuri ila kiuhalisia hakuna hata mmoja alishawahi kufika huko na kutuletea ripoti kamili zaidi ya kusoma kwenye Misahafu na maandiko matakatifuView attachment 400914hii dhana ya kuzimu hii hii dhana ya jehanam ni kwa wale waamini na waaminio kwenye kiama, ni kwa wale waaminio kwenye hukumu ni kwa wale waaminio kwenye jehanam na kuzimu
Kiuhalisia ni kwamba kuzimu na jehanam viko hapa hapa duniani! Pepo pia iko hapa hapa duniani
Kiama tunachokiogopa sana hakijafika kuzimu tunakokugwaya hakuko mbali tunaishi nako
Maisha baada ya kifo ndio huamua mustakabali wa roho yako! Kama itabaki pale kaburini kimya kwa hali ya utulivu na kutobughudhiwa na hali yoyote ile (hii ndo pepo ya marehemu) au itatoka kaburini na kutangatanga ulimwenguni au itachukuliwa na wachawi na kufanywa msukule au kutumiwa kwa namna yoyote hasi (hii ndio jehanam yake)View attachment 400935
Tunaombea marehemu walale mahali pema peponi huu ni uzushi na maneno ya faraja tuu! Labda kama ni kwa muktadha na maana ya nilichoandika japo juu
Kwahiyo wandugu marehemu wengi ni wahanga wa kuzimu bila kujua na bila uhalisia bali ni kutokana na maneno yetu...! Kuzimu na jehanam za kweli vipo huku huku duniani kwenye hospitali zetu kwenye Magereza zetu kwenye mitaa yetu kwenye nyumba zetu kwenye misitu na zile sehemu zisizojulikana na kuonekana na wengi huko kuna jehanam zenye mateso na maumivu ya kila aina! Ila kwakuwa tumezingwa na ufahamu duni tunaangalia lakini hatuoni tunasikia lakini hatuelewi, tunabaki na doctrines zile zile za mapokeoView attachment 400948
Msaada katika juu ya matamko haya matatu.
1. Nini maana ya Jahanamu na ni kipi kilichokujulisha jehanamu ipo hapa hapa duniani.

2. Nini maana ya kuzimu ?

3. Nini maana ya shetani ?
 
MYTHS NEVER END:...Mkuu ukiambiwa useme direction ya kwenda huko kuzimu utaweza?
Una uhakika kwamba hizo picha siyo man made?...kama ndiyo huoni zinatumika kama kinyago kutishia watoto?....kama siyo huyo cameraman aliyezipiga yuko wapi?...Hivi binadamu unajisikiaje unapotumia vitisho kuwatisha watu ili kuwamanipulate?

HAKUNA KUZIMU, HAKUNA MOTO WA JEHANAMU...Hakuna liyeshuhudia hizo nadharia za kufikirika.
Nakuona mzee.
 
Msaada katika juu ya matamko haya matatu.
1. Nini maana ya Jahanamu na ni kipi kilichokujulisha jehanamu ipo hapa hapa duniani.

2. Nini maana ya kuzimu ?

3. Nini maana ya shetani ?
Hebu check replies za Sanctus anaclectus amelijibu hili vizuri sana ikimpendeza atakuja tena hapa
 
Hujanielewa nimesema hivyo ili kuokoa muda namaanisha hapa nayatafuta hayo majibu yake.
Ni sawa lakini huoni tayari ushapoteza huo muda ngoja nitakusaidia
Hii ni post no 81 sasa tafuta post no 41
 
Back
Top Bottom