Wahanga wa kuzimu/jehanam

Wahanga wa kuzimu/jehanam

MYTHS NEVER END:...Mkuu ukiambiwa useme direction ya kwenda huko kuzimu utaweza?
Una uhakika kwamba hizo picha siyo man made?...kama ndiyo huoni zinatumika kama kinyago kutishia watoto?....kama siyo huyo cameraman aliyezipiga yuko wapi?...Hivi binadamu unajisikiaje unapotumia vitisho kuwatisha watu ili kuwamanipulate?

HAKUNA KUZIMU, HAKUNA MOTO WA JEHANAMU...Hakuna liyeshuhudia hizo nadharia za kufikirika.
Unajua CHARMILTON umekimbilia kujibu hivi bila kusoma kwa makini nilichoandika! Na umefanya hivi kutokana na u tofauti wetu katika imani
Nakusihi rudia tena kusoma kwa makini nilichoandika ujue niliandika nini hasa
 
binadamu duniani
kuzimu +kaburini
hukumu
jehanamu +peponi

habari za mtenda wema baada kufa kabla hukumu hazijabashiriwa kwa undani
ila habari za waliomkataa naye akawakataa zimebashiliwa hata kabla ya hukumu na makazi ya wamchukizao ni KUZIMU
na Kuzimu ni kwa mashetani
mashetani wanaishije? wapi ? eti mshana mkulu anajua ?
wote tunaompinga ni mashetani
ndo mana maisha kwetu yamekuwa magumu
eti mshana wewe ni shetani
basi na mimi shetani
mana hali imekuwa mbaya kwangu

kwa mujibu wa maandiko shetani ni yupi nipe jibu mshana
na kwa mujibu w mkulu shetani ni yupi nipe jibu mshana

NAUNGA MKONO HOJA YAKO
NAPINGA PIA
 
naungana nawe kupinga na kuunga hoja mkono
 
Mshana Jr jehanamu ipo na ni baharini, maji yote yataondolewa waovu watachomwa moto
 
Unajua CHARMILTON umekimbilia kujibu hivi bila kusoma kwa makini nilichoandika! Na umefanya hivi kutokana na u tofauti wetu katika imani
Nakusihi rudia tena kusoma kwa makini nilichoandika ujue niliandika nini hasa
Je kuna ufufuo siku ya mwisho?

Je kuna Mbingu na Jehanamu ya kuweka watu baada ya kifo na hukumu kulingana na matendo yao?

Mimi nilishajua mtazamo wako juu ya haya makitu that's why nikauliza vile mwanzoni.
 
Kuna ufufuo siku ya mwisho kwa waamini na waaminio
Kuna mbingu na jehanam kwa waamini na waaminio
Tatizo liko kwenye tafsiri! Wasioamini hutafsiri kidunia wakati waaminio hutafsiri kiroho
Ishu ya mbingu na jehanam ni ya kinadharia na kiroho zaidi..ni dhana zisizo na ithibati za kisayansi na ndio maana hata hayo mapicha ni ya kufikirika zaidi kulingana na picha iliyojengwa kwenye maandiko , ni mambo ya kiimani zaidi kiroho zaidi
Mada yangu ilijikita kwenye kuhoji uhalisia hasa kwa mtazamo wa wengi habari za kuzimu na peponi na vile wengi wanavyopotoka
Tunadhani hizi zana mbili ziko mbali sana na sisi lakini kiuhalisia tunaishi nazo kila siku kwenye maisha haya haya
 
Kwa wasioamini itakuwaje?
 
Ukweli hauwezi kuadhiriwa na imani....utaweza kuamini kitu hakipo ili hali kipo, je ikitokea hivyo kwa wasioamini itakuwaje?
Ukweli kwa muktadha upi? Kwakuwa dunia yote imejazwa na dhana na nyingi Zikiwa ni za kufikirika kuliko uhalisia...hata hiki kitu unachoita ukweli bado ni dhana! Kuamini ni dhana kutoamini ni dhana...
 
Nimepitia post yako mkuu.. Ila nimechanganyikiwa kidogo.. Unasema hizi pepo na jehanam zipo hapa dunian so baada ya mtu kufa au kiama hakutakua na maisha tena, yaaan kila mtu atapoz kwenyr kabur lake kwa kua ndio pepo yake na wale mbugila mbugila watazururra zurura tu duniani.. Cjakuelewa vizur mkuu
 
Ndio ni hapa hapa duniani kwasasa kwakuwa kiama hakijafika! Parapanda kuu haijapulizwa(kwa waamini na waaminio)
Kwasasa jehanam na pepo viko hapa hapa hii ni hata kwa wale wasioamini..tunaweza kutofautiana lugha tuu lakini uhalisia(sio ukweli )utabaki Vilevile
Kwamba wakati wewe umelala raha mustarehe kitandani mwako kuna mwingine anateseka na maumivu ya kutisha pale ocean road (dhana ya pepo na jehanam)
 
Aaaaah hapo huo mstar wako wa mwisho wa kitandan na ocean road umenifanya nimekuelewa…
Maana yake ni kwamba starehe unayopata dunian ndio pepo yako na mateso unayopata ndio jehanam yako…
Ila mkuu katika imani za dini zote kubwa zinaelezea kuwa posibl kuna mateso baada ya kufa.
Hili unalizungumziaje?
 
Ni vile vile kuna roho zimepumzika pale kaburini kimya kabisa
Kuna roho zinazotangatanga duniani na kupata shida nyingi
Kuna roho ziko incarnated kwenye maisha mazuri sana
Kuna roho ziko incarnated kwenye maisha ya mateso mno
 
View attachment 400899Kuna maneno nimewahi kuyasikia mahali, mkulu mmoja akinena na kusemezana na watu wake kuwa anataka tabaka fulani liishi kama shetani! Leo hii kwenye post hii ningependa kupingana naye kwa nia njema kabisa! Kama kuna mtu au watu wanaishi maisha ya kifahari hapa duniani basi ni wale wanaomtii shetani..labda kama alimaanisha kuzimu/jehanam ila akakosea kidogo kutofautisha kati ya kuzimu/jehanam na shetani
Huko mahali sio kizuri ila kiuhalisia hakuna hata mmoja alishawahi kufika huko na kutuletea ripoti kamili zaidi ya kusoma kwenye Misahafu na maandiko matakatifuView attachment 400914hii dhana ya kuzimu hii hii dhana ya jehanam ni kwa wale waamini na waaminio kwenye kiama, ni kwa wale waaminio kwenye hukumu ni kwa wale waaminio kwenye jehanam na kuzimu
Kiuhalisia ni kwamba kuzimu na jehanam viko hapa hapa duniani! Pepo pia iko hapa hapa duniani
Kiama tunachokiogopa sana hakijafika kuzimu tunakokugwaya hakuko mbali tunaishi nako
Maisha baada ya kifo ndio huamua mustakabali wa roho yako! Kama itabaki pale kaburini kimya kwa hali ya utulivu na kutobughudhiwa na hali yoyote ile (hii ndo pepo ya marehemu) au itatoka kaburini na kutangatanga ulimwenguni au itachukuliwa na wachawi na kufanywa msukule au kutumiwa kwa namna yoyote hasi (hii ndio jehanam yake)View attachment 400935
Tunaombea marehemu walale mahali pema peponi huu ni uzushi na maneno ya faraja tuu! Labda kama ni kwa muktadha na maana ya nilichoandika japo juu
Kwahiyo wandugu marehemu wengi ni wahanga wa kuzimu bila kujua na bila uhalisia bali ni kutokana na maneno yetu...! Kuzimu na jehanam za kweli vipo huku huku duniani kwenye hospitali zetu kwenye Magereza zetu kwenye mitaa yetu kwenye nyumba zetu kwenye misitu na zile sehemu zisizojulikana na kuonekana na wengi huko kuna jehanam zenye mateso na maumivu ya kila aina! Ila kwakuwa tumezingwa na ufahamu duni tunaangalia lakini hatuoni tunasikia lakini hatuelewi, tunabaki na doctrines zile zile za mapokeoView attachment 400948
umeongea kimtazamo zaidi! jehanamu haipo duniania, kuzimu ipo duniani na inasemekana ni chini ya bahari!
 
umeongea kimtazamo zaidi! jehanamu haipo duniania, kuzimu ipo duniani na inasemekana ni chini ya bahari!
Nazijua vema habari za kuzimu na bahari pia na hayo yanayotokea huko chini ya sakafu ya dunia ni sahihi kwakuwa kila kitu kibaya tunapeleka chini na sio juu
Kwahiyo kuzimu ni zao la mwanadamu mwenyewe
 
Back
Top Bottom