SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,336
- 4,692
Kaka siwezi kusoma elimu ya mantiki au falsafa sababu kwangu mimi elimu hizo ni haramu.Kwahiyo uhojaji wangu ni misingi ya kielimu au ya kutafuta elimu yoyote iwayo ambayo kiidadi ipo kumi.
Kwahiyo kuniongelea mantiki au falsafa bado nakuona uko nyuma ya wakati.
Kadhalika sifa zenu nyinyi huwa hamna uwezo wa kujibu maswali zaidi ya kutoa tuhuma.
Kwa faida ni makosa kuandika "inshallah" usahihi ni "Inshaa Allah".
Asante sana kwa masahihisho.Nimejifunza jambo.Watu wengi wamekuwa wanaandika jina hilo kwa kukosea.
