Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,329
Leo umenipa cha njia panda ya kuzimu na peponi
Point yangu ipo hivi; kwa mfano watu wawili wapo nje ya jengo alafu wote wanaimani tofauti juu ya kilichopo kwenye hilo jengo.Mmoja anasema ndani ya jengo kuna meza na viti, mwingine akasema mle ndani hakuna kitu...kwa vyovyote vile kilichopo ndani ya jengo hakitegemei dhana za wale watu wawili....watakapo ingia ndani lazima dhana ya mtu mmoja iwe wrong.Ukweli kwa muktadha upi? Kwakuwa dunia yote imejazwa na dhana na nyingi Zikiwa ni za kufikirika kuliko uhalisia...hata hiki kitu unachoita ukweli bado ni dhana! Kuamini ni dhana kutoamini ni dhana...
Hapana mmoja anaweza kuwa sahihi lakini wote wanaweza kuwa si sahihi kwakuwa wanaishi kwa imagination ya kilichopo ndani ya nyumbaPoint yangu ipo hivi; kwa mfano watu wawili wapo nje ya jengo alafu wote wanaimani tofauti juu ya kilichopo kwenye hilo jengo.Mmoja anasema ndani ya jengo kuna meza na viti, mwingine akasema mle ndani hakuna kitu...kwa vyovyote vile kilichopo ndani ya jengo hakitegemei dhana za wale watu wawili....watakapo ingia ndani lazima dhana ya mtu mmoja iwe wrong.
Madirisha na milango tunaweza kuiona tukiwa nje ndio maana sijaitolea mifano....Kwa hiyo wanaoamini uwepo na kutokuwepo kwa jehanamu wote wanaweza kutokuwa sahihi?Hapana mmoja anaweza kuwa sahihi lakini wote wanaweza kuwa si sahihi kwakuwa wanaishi kwa imagination ya kilichopo ndani ya nyumba
Labda kama ungetoa mfano wa madirisha na milango
Ni kwakuwa hizi zote ni dhana...iko hivi huko ndani ya nyumba kukikosekana milango na madirisha litakuwa ni jambo lisilowezekana kabisa labda kama hiyo nyumba iwe ni ukumbiMadirisha na milango tunaweza kuiona tukiwa nje ndio maana sijaitolea mifano....Kwa hiyo wanaoamini uwepo na kutokuwepo kwa jehanamu wote wanaweza kutokuwa sahihi?
Madirisha na milango tunaweza kuiona tukiwa nje ndio maana sijaitolea mifano....Kwa hiyo wanaoamini uwepo na kutokuwepo kwa jehanamu wote wanaweza kutokuwa sahihi?
View attachment 400899Kuna maneno nimewahi kuyasikia mahali, mkulu mmoja akinena na kusemezana na watu wake kuwa anataka tabaka fulani liishi kama shetani! Leo hii kwenye post hii ningependa kupingana naye kwa nia njema kabisa! Kama kuna mtu au watu wanaishi maisha ya kifahari hapa duniani basi ni wale wanaomtii shetani..labda kama alimaanisha kuzimu/jehanam ila akakosea kidogo kutofautisha kati ya kuzimu/jehanam na shetani
Huko mahali sio kizuri ila kiuhalisia hakuna hata mmoja alishawahi kufika huko na kutuletea ripoti kamili zaidi ya kusoma kwenye Misahafu na maandiko matakatifuView attachment 400914hii dhana ya kuzimu hii hii dhana ya jehanam ni kwa wale waamini na waaminio kwenye kiama, ni kwa wale waaminio kwenye hukumu ni kwa wale waaminio kwenye jehanam na kuzimu
Kiuhalisia ni kwamba kuzimu na jehanam viko hapa hapa duniani! Pepo pia iko hapa hapa duniani
Kiama tunachokiogopa sana hakijafika kuzimu tunakokugwaya hakuko mbali tunaishi nako
Maisha baada ya kifo ndio huamua mustakabali wa roho yako! Kama itabaki pale kaburini kimya kwa hali ya utulivu na kutobughudhiwa na hali yoyote ile (hii ndo pepo ya marehemu) au itatoka kaburini na kutangatanga ulimwenguni au itachukuliwa na wachawi na kufanywa msukule au kutumiwa kwa namna yoyote hasi (hii ndio jehanam yake)View attachment 400935
Tunaombea marehemu walale mahali pema peponi huu ni uzushi na maneno ya faraja tuu! Labda kama ni kwa muktadha na maana ya nilichoandika japo juu
Kwahiyo wandugu marehemu wengi ni wahanga wa kuzimu bila kujua na bila uhalisia bali ni kutokana na maneno yetu...! Kuzimu na jehanam za kweli vipo huku huku duniani kwenye hospitali zetu kwenye Magereza zetu kwenye mitaa yetu kwenye nyumba zetu kwenye misitu na zile sehemu zisizojulikana na kuonekana na wengi huko kuna jehanam zenye mateso na maumivu ya kila aina! Ila kwakuwa tumezingwa na ufahamu duni tunaangalia lakini hatuoni tunasikia lakini hatuelewi, tunabaki na doctrines zile zile za mapokeoView attachment 400948
Asante sana kwa ufafanuzi uliojaa elimu..nimejifunza kitu kingine kipya hapa kuhusiana na elimu ya wafu...kuna baadhi ya hatua nazijua ila sikuzizingatia na kwa upande mwingine nikaweka mfano katika maisha ya kawaida kwakuwa si kila mmoja ni mwaminiMkuu Mshana:
Kuna baadhi ya mambo hayako sawa katika uzi huu. Kwa kuwa najua wewe ni mtu wa kutaka kujifunza basi naomba tufundishane kwa haya machache.
1.Katika masuala ya TaaliMungu ziko hali zifuatazo:
1.Mbingu(Makao ya Mungu,Malaika na Watakatifu)
2.Toharani(Wanakopokelewa wafu ambao hawakusafishika sawa sawa).Ni kama "Remedial Class).Hawa hukaa hapo ili watakaswe.Mojawapo ya vitu vinavyowasaidia ni sala zetu tulioko duniani na za wale wa Mbinguni.
3.Jehanamu(Motoni): Huko wanakaa ambao hawana sifa ya kundi la kwanza wala la pili.
Ndio kusema ni makao ya "failures" wa kikweli kweli.Kwamba hata "remedial class" haiwastahili
4.Kuzimu:Hapa hakuna mtu yeyote kwa sasa!Mara ya baada ya mahusiano kati ya Adamu na Eva na Mungu kuharibika kila mwanadamu aliyekufa roho yake ilienda huko.Kabla ya Yesu kufa Msalabani hakuna mwanadamu aliyeweza kuingia Mbinguni.Na kitendo cha makaburi kufunuka na wafu kufufuka mara baada tu ya kukata roho msalabani ni ndio tafsiri kuwa Yesu alienda huko na kuwatoa wafu baada ya transformations kadhaa kufanyika na kisha kupafunga kabisa na kuondoka na funguo.Kwa hiyo baada ya hapo hakuna mwanadamu anaenda Kuzimu tena.Ni ama uende Mbinguni,Toharani au Motoni.
Asante sana kwa ufafanuzi uliojaa elimu..nimejifunza kitu kingine kipya hapa kuhusiana na elimu ya wafu...kuna baadhi ya hatua nazijua ila sikuzizingatia na kwa upande mwingine nikaweka mfano katika maisha ya kawaida kwakuwa si kila mmoja ni mwamini
U need a company on bed?Mshana nikisomaga post zako basi lazima siku hiyo nikalale na mtu room ingne...maanaaa mmm...si kwa kunitisha hukooo...

Madirisha na milango tunaweza kuiona tukiwa nje ndio maana sijaitolea mifano....Kwa hiyo wanaoamini uwepo na kutokuwepo kwa jehanamu wote wanaweza kutokuwa sahihi?
Hizi Arguments ndio zinazidi kupinga uwepo wa Mungu.Mfano ni Argument of Efficiency causality inayosema kila kilichopo kina chanzo chake kilichokiunda/kiumba,....Je kama Mungu yupo ni nani aliyemuumba Mungu?Nakushukuru kwa kukiri kwamba mwanadamu anapokuwa hajui jambo basi anakuwa hana tofauti na mtu aliyefungiwa shimoni.Hebu baada ya kusoma arguments mbalimbali juu ya kutokuwepo Mungu jaribu kusoma na hizi zinazoweka ushahidi kuwa yupo.
Twenty Arguments For The Existence Of God by Peter Kreeft & Ronald K. Tacelli
Point yangu ipo hivi; kwa mfano watu wawili wapo nje ya jengo alafu wote wanaimani tofauti juu ya kilichopo kwenye hilo jengo.Mmoja anasema ndani ya jengo kuna meza na viti, mwingine akasema mle ndani hakuna kitu...kwa vyovyote vile kilichopo ndani ya jengo hakitegemei dhana za wale watu wawili....watakapo ingia ndani lazima dhana ya mtu mmoja iwe wrong.
Hizi Arguments ndio zinazidi kupinga uwepo wa Mungu.Mfano ni Argument of Efficiency causality inayosema kila kilichopo kina chanzo chake kilichokiunda/kiumba,....Je kama Mungu yupo ni nani aliyemuumba Mungu?
Kwa mujibu wa imani ya kikristo Mungu ni muumbaji kwahiyo muumba hawezi kuumbwa...creator cannot be created...na unapokuja kuendelea kusoma anasema yeye ni pumzi ya uzima (energy) na tunajua fika definition ya energy ni kwamba it can neither be created nor destroyed....Hizi Arguments ndio zinazidi kupinga uwepo wa Mungu.Mfano ni Argument of Efficiency causality inayosema kila kilichopo kina chanzo chake kilichokiunda/kiumba,....Je kama Mungu yupo ni nani aliyemuumba Mungu?
Kwa mujibu wa imani ya kikristo Mungu ni muumbaji kwahiyo muumba hawezi kuumbwa...creator cannot be created...na unapokuja kuendelea kusoma anasema yeye ni pumzi ya uzima (energy) na tunajua fika definition ya energy ni kwamba it can neither be created nor destroyed....
Roho ni energy at least kwa dhana rahisi inayoweza kuelezeka, ndio maana hakuna popote kwenye maandiko yoyote hata yale ya wasioamini katika Mungu mmoja. Maandiko yote yanaongelea mateso ya milele jehanam uzima wa milele peponi, au reincarnation au rebirth nk! Kinachokufa ni jumba mwili sio roho..