Waha , mnaferi wapi ?

Waha , mnaferi wapi ?

Bonjour

Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa

Ni Wabishi sijawahi kuona

Wachafu kinoma,

Wana makelele

Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri

Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha

Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,

Wanafua kila siku
Kuna dada yng na yeye kapata jamaa wa kiha na ndio katoka kumletea Posa home hivi karibuni yani,

Kiukweli namsikitikia kutokana na hili kabila ninavyolijua
 
Mkuu, tatizo ni lako. Kama huwezi kuwavumilia maswaibu yao, fanya mpango uhaame au jenga kwako.

Turudi kwenye uzi;
Ubishi ni hulka. Si waha tu wabishi, makabila mengine yapo. Na siyo waha wote ni wabishi.

Uchafu? Hilo ni tatizo.

Kujisifu? Kwa namna ipi? Kama mtu kafanikisha lake kwa viwango basi acha ajisifie.

Anayepaswa kucheka ni tajiri pekee? Maskini yao kununa? Nani kaweka hii principle? Hapana, kila mtu afurahi kwa namna yake.

Simu za miamala? Swadakta kabisa. Hujui furaha ya kupata muamala? Nafsi huwa inazuuzika na huponya magonjwa ya moyo ikiwemo sonona.

Baya ni hilo la UCHAFU tu. Na labda makelele pia. Mengine yote ni hayana mantiki.

Sijamaliza, umesema ni Wachafu huku ukisema wanafua kila siku. Huo uchafu ni wa namna gani? Kufua ni usafi.
Kubisha ujinga usio na maana, uchafu, waha wamezidi
 
Alifuata amwachie mwenzie .ni kistaarabu tu
Hataki kuelewa na nilisha mwambia,hiyo ID kafanya kusudi kuiga yangu,sio kwamba ni bahati mbaya,hiyo ni dalili ya mtu kutokujiamini na kutokua creative.
 
Jirani ni chizi mziki, yani iwe gospo, bolingo, reggae, hiphop, piano, rnb....yani kifupi ni house of music full time....kwangu burudani tu....shida kuna muda anazdishaa sana afu anaanzaga mapema tu sa1 asbh mapema tuu.....jioni mstaarabu tunalala vzur mnooo.....mwingine yy nadhani ni mbishi alijenga kumbe ni bwawa hvo mvua ikinyesha ni balaa....afu hataki kuhama....wengine washkaj wapambanaji wana spirit ya kutafuta sanaa hawa jamaaa....sema kwny ubishi pale SALUTE
Kuna dogo limoja nalo nilipanga naye jirani ni muha alikua na tabia hyo ya kufungulia mziki Kelele km zte,

Majiran wenzie tukamfuata mara kadhaa awe mstaarabu kwenye suala la mziki akajifanya mbishi miksa kutupandishia kibezi

Siku ya siku raia wakachoka kumvumilia ile jioni aliporud gheto kwake kilichomkuta hd huko alipo nahc atawasimuliaga wajukuu had vitukuu vyake

maana ile siku wadau tulimshushia kichapo mbele ya mjumbe wa mtaa na hakukua na wakumtetea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom