Waha , mnaferi wapi ?

Waha , mnaferi wapi ?

Jirani ni chizi mziki, yani iwe gospo, bolingo, reggae, hiphop, piano, rnb....yani kifupi ni house of music full time....kwangu burudani tu....shida kuna muda anazdishaa sana afu anaanzaga mapema tu sa1 asbh mapema tuu.....jioni mstaarabu tunalala vzur mnooo.....mwingine yy nadhani ni mbishi alijenga kumbe ni bwawa hvo mvua ikinyesha ni balaa....afu hataki kuhama....wengine washkaj wapambanaji wana spirit ya kutafuta sanaa hawa jamaaa....sema kwny ubishi pale SALUTE
 
Niwachafu BADAE wanafua Kila siku, Mtoa mada bainisha hapa sijakuelewa.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mfano wewe , unafua kila siku

Lakini haupigi mswaki, hauogi unanuka, usafishi nyumba yako, choo chako kichafu, etc

Wewe tunakuitaje

Yani Hawa wanafua daily, utafikiri wanajikolojea kitandani, Yani matumizi ya maji mpaka kelo
 
Bonjour

Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa

Ni Wabishi sijawahi kuona

Wachafu kinoma,

Wana makelele

Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri

Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha

Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,

Wanafua kila siku
Jenga yako pumbavu wewe
 
Waha mtuache bhanaa.

Mkuu Umesahau sifa yetu ingine ni uchawi na ushirikina hapo.😁
 
Kwenye makelele na ubishi kweli sijui waha wana matatizo gani kichwani nilipanda gari nilikuwa naelekea chato sasa siti nilipokuwa mm nimezungukwa na waha makelele yalianza kibaigwa daa aisee walibishana hapo gari zima makelele wanaongea wao tuuu tumefika Singida mida ya saa 2 daa mpk kufika kahama kama saa 4 walishuka abiria wote tulishukuru kichwa kulikuwa kinauma kweli kwa makelele hawachoki kubishana
 
Alafu utakuta kelele za kijinga tu,
 
Hizo ni sifa ambazo nimeziona Kwa Hawa waha ninao ishi nao hapa..
Ubishi naweza kukubaliana na wewe japo sio kila muha ni mbishi, ila uchafu hapana, mtu yeyote tu anaweza kuwa msafi au mchafuu bila kujali kabila lake, wako waha wengi tu ni wasafi balaa.
 
Ubishi naweza kukubaliana na wewe japo sio kila muha ni mbishi, ila uchafu hapana, mtu yeyote tu anaweza kuwa msafi au mchafuu bila kujali kabila lake, wako waha wengi tu ni wasafi balaa.
Humu ndani mnashindwa kunielewa ,

Nimesema hizo ni sifa za Hawa ninao ishi nao hapa nyumbani, wapangaji wenzangu.

Kwanini una generalize
 
Bonjour

Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa

Ni Wabishi sijawahi kuona

Wachafu kinoma,

Wana makelele

Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri

Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha

Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,

Wanafua kila siku
Hujakutana na waganda, waha wakajifunze kwao kwa uchafu.

Ila waha wabisha bwana hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom